cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Nimeielewa, iko kinyamaaaah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeielewa, iko kinyamaaaah
Wametisha.
Like it
Tamu pia.
Uko vizuri uzi wake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa si mtumba wa buguruni huu.
Check sasa,uzi gani huu sasa
WamezinguaYa hovyo kweli
Ubunifu zero kabisaaaIla jamni siku hizi kuna mijezi mibovu hadi karaha!
Hii jezi mbona kama ina matiti [emoji23]
Sio bukta tu, mpaka mijezi yao ni mabovu.
Mie nauona ni wa kawaida tu..Mpaka post ya mwisho nimeona Uzi wa nyumbani wa Madrid ndio the best umefunika mbaya...
Mara nyingi atletico huwa ma uzi mkali.. Huu nashindwa kuupa marks, labda nisubiri akiwa mtu kautinga.
Utopolo wa ulaya hawa Ila Adidas
Psg wana vitu moto tupu.
Uzi umetulia vzr huu
aUtopolo wa ulaya hawa Ila Adidas
Haijawah kutoa uzi wenye hadhi ya man u kabsa [emoji1][emoji1][emoji1]