Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #41
Arsenal away kit
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AC Milan hawajawahi kuniangusha, mtaalam wao anatisha mno kwa ubunifu.Ac Milan home kitView attachment 1782162
Aheri watumie ule wa pundamliaMbna huu uzi sjaupenda jmn
Mkuu tuwekee na wa RomaTupo ukingoni mwa msimu huu 2020/2021 ambapo ligi mbalimbali zinaenda kufikia tamati. Kufika tamati kwa msimu huu, ni maandalizi ya kuingia msimu ujao.
Tayari baadhi ya timu zimeshaanza kutoa jezi mpya kwaajili ya msimu ujao.
Nitakuwa nikileta jezi mpya kadiri zitakavyokuwa zikinifikia, kwahyo uzi huu ni endelevu, unataka kujua jezi mpya ya timu yako msimu ujao, kaa nasi hapa kwenye uzi huu!
Karibuni...
Hiki ni kichekesho cha karne 🤣🤣🤣Inasemekana uzi wa Man Utd utakuwa hivi...tuendelee kusubiri kwa uthibitisho zaidi
View attachment 1782176
Anayebuni jezi za arsenal anazipatia kweli.
Tatizo matokeo yao uwanjani[emoji23]
Designer wa the gunners big upArsenal away kitView attachment 1783369
AC Milan hawajawahi kuniangusha, mtaalam wao anatisha mno kwa ubunifu.
Hapo jezi kali ni ya Liverpool hyo ya ugenini bonge la Uzi
Mkipata wa Yanga next season wekeni ere