Jezi Nyeusi ya Mganga wao wa Kienyeji kuzuiwa Kutumika imefuta Unbeaten Record yao

Jezi Nyeusi ya Mganga wao wa Kienyeji kuzuiwa Kutumika imefuta Unbeaten Record yao

Kama uchawi unalipa Simba wangesha chukua kombe kwenye mashindano ya Caf, Maana Caf inawatambua Simba ndio timu inayo ongoza Kwa vitendo vya kishirikina barani Afrika.
 
Ihefu hawana nasihara.... Yani wamepika ubwabwa afu mwiko wakauweka nyuma kwa utopolo....

Utopolo wanapenda sana mwiko....

Mwiko nyuma....
 
Back
Top Bottom