Angalu simba ingekuwa na ubora ningesema Ila simba hii Bado ni mbovu hata Kama yanga akipoteza game nyingine bado uwezekano wa simba kuwa bingwa ni mdogo Sana
Kama uchawi unalipa Simba wangesha chukua kombe kwenye mashindano ya Caf, Maana Caf inawatambua Simba ndio timu inayo ongoza Kwa vitendo vya kishirikina barani Afrika.