Jezi tano za Simba zitakazozinduliwa juu ya mlima Kilimanjaro zitakuwa na majina ya viongozi wa Serikali

MIMI BABA YENU

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2019
Posts
305
Reaction score
728
“Jezi zetu tano zitakazo zinduliwa juu ya kilele cha Mlima Kilimanjaro zitakuwa na majina ya Viongozi wa Serikali mgongoni Rais Dkt. Samia , Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mwinyi, Makamu wa Rais Dk. Mpango, Waziri Mkuu Majaliwa, Spika wa Bunge, Dkt. Tulia na Rais wa Heshima Dewji Mo na CEO Imani Kajula.

"CEO Imani Kajula ndiye mwanzilishi wa wazo la kuzindulia jezi juu ya kilele cha Mlima Kilimanjaro," @ahmedally_ Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu.
 
Nchi inavituko sana, hivi mahesabu imefanyika kuwa Jezi ikizinduliwa juu ya Mlima Kilimanjaro itaiongezea team value kiasi gani? Au wanatusaluisha kuwa msimu uliopita tulitoka kapa bila kunyanyua kwapa.
 
Kwanini wasiweke hata la Tundulisu hao tushawazoea
 
Viongozi wetu wamejipendekeza, tunajua raisi ni yanga damu, hatoivaa, itakuwa tambala la deki 😂🤣
 
“Jezi zetu tano zitakazo zinduliwa juu ya kilele cha Mlima Kilimanjaro zitakuwa na majina ya Viongozi wa Serikali mgongoni Rais Dkt. Samia , Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mwinyi, Makamu wa Rais Dk. Mpango, Waziri Mkuu Majaliwa, Spika wa Bunge, Dkt. Tulia na Rais wa Heshima Dewji Mo na CEO Imani Kajula.

"CEO Imani Kajula ndiye mwanzilishi wa wazo la kuzindulia jezi juu ya kilele cha Mlima Kilimanjaro," @ahmedally_ Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu.
Kwani aliyewashauri ni yule babu wa loliondo,Kuwa mkazindulie jezi juu ya kilele cha mlimani Kilimanjaro au mmempata babu Sangoma aliyewapiga pesa zenu bure😂
 
Back
Top Bottom