MIMI BABA YENU
JF-Expert Member
- Mar 1, 2019
- 305
- 728
“Jezi zetu tano zitakazo zinduliwa juu ya kilele cha Mlima Kilimanjaro zitakuwa na majina ya Viongozi wa Serikali mgongoni Rais Dkt. Samia , Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mwinyi, Makamu wa Rais Dk. Mpango, Waziri Mkuu Majaliwa, Spika wa Bunge, Dkt. Tulia na Rais wa Heshima Dewji Mo na CEO Imani Kajula.
"CEO Imani Kajula ndiye mwanzilishi wa wazo la kuzindulia jezi juu ya kilele cha Mlima Kilimanjaro," @ahmedally_ Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu.
"CEO Imani Kajula ndiye mwanzilishi wa wazo la kuzindulia jezi juu ya kilele cha Mlima Kilimanjaro," @ahmedally_ Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu.