Jezi (Uzi) wa Manchester United kwa msimu ujao wa 2024-25

Jezi (Uzi) wa Manchester United kwa msimu ujao wa 2024-25

marcoveratti

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2017
Posts
1,019
Reaction score
1,824
Huu apa Uzi wa Manchester united msimu wa 2024-25 ugenini.

Unaupa asilimia ngapi za ubora wa designs na muoneiano?

IMG-20240430-WA0013.jpg
IMG-20240430-WA0012.jpg
IMG-20240430-WA0011.jpg
 
Kama ni kweli basi jezi mbaya, ngoja tusubiri kuona nyeupe na nyekundu maana izo ndo huwa nanunua miaka yote
 
Back
Top Bottom