figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Uchawa uchawa tu na kulamba miguu ya SSH kisa teuzi za kipuuzi..sasa huko kaenda kuiwakilisha Tanzania au kaenda kumuwakilisha hawara yake
Nasikia chadema wanataka wakufukuze?Aibu sana
Hawara kashika mpini sasa yeye atayumbshwa na nani tena hapo.Ila BASHITE tumpe sifa zake kwa kwenda na upepo!
Anajuwa kudandia mafao kutokana na uongozi uliopo! A smart con man!
π€£πππΉππ π€Hawara kashika mpini sasa yeye atayumbshwa na nani tena hapo.
Jadili mada iliyopo au endelea na matusi yako.Nasikia chadema wanataka wakufukuze?
Aibu utaona weweAibu sana
Jezi ya Barcelona imeandikwa Samia badala ya Serengeti, Ngorongoro nk. CCM wametepeta. Hajali Nchi tena.
Halafu tunaionea wivu vist Rwanda
View attachment 3671425
Mtu atoke Marekani kuja Tanzania kuleta jina la Trump badala ya vivutio vya Nchi yao ????Acheni ushamba, jezi huandikwa majina ya watu na si sehemu wala vivutio!