Jezi ya Nigeria yatamba madukani

Jezi ya Nigeria yatamba madukani

ze-dudu

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2014
Posts
17,640
Reaction score
22,748
Unaambiwa jezi mpya ya timu ya Taifa ya NIGERIA imeshika patamu kwenye maduka mbali mbali ya nchi tofauti barani AFRICA.

MADADA wengi wanaongoza kwenye manunuzi

" Ni jezi nzuri, inavutia na kukupendezesha pale unapoivaa. Wengine si mashabiki wa NIGERIA ila tumependa jinsi mpangilio wa rangi zilivyoipendezesha jezi iyo"
 
Unaambiwa jezi mpya ya timu ya Taifa ya NIGERIA imeshika patamu kwenye maduka mbali mbali ya nchi tofauti barani AFRICA.

MADADA wengi wanaongoza kwenye manunuzi

" ni jezi nzuri, inavutia na kukupendezesha pale unapoivaa,
Wengine si mashabiki wa NIGERIA ila tumependa jinsi mpangilio wa rangi zilivyoipendezesha jezi iyo..
34193750_1577312052398333_5728475651095134208_n.jpg

34258938_1577312092398329_81552516893900800_n.jpg

34276543_1577312009065004_4805664522679353344_n.jpg

34199792_1577312062398332_1618711154534645760_n.jpg
Chioma imemkaa
 
Labda mie macho mabovu.!
Hivi uzuri wa hiyo jezi ni nini?
 
Naona wazungu wananitengeneza akili tu kuniaminisha jezi nzuri ili ninunue, sioni uzuri wa kiasi hiko wa hizo jezi
 
Hiyo jezi hata bure sivai, wanacheza na saikolojia za Waafrika. Jezi ni mbaya.
 
Africa is a European market..huitaji kufikiri sana kuelewa hili
 
yaani Kizuri kisifiwe na mzungu tu...hata kama hizo jezi zingefanana na miguo ya King Mswati bado tungeshobokea tu!! Waafrika tumetekwa akili
 
Back
Top Bottom