kavulata JF-Expert Member Joined Aug 2, 2012 Posts 13,778 Reaction score 14,214 Apr 7, 2017 #1 Pamoja na kuwa na rangi ya bendera yetu lakini sehemu kumbwa ya jezi zao zingeonyesha utalii wa Serengeti ili kumaanisha jina la timu.
Pamoja na kuwa na rangi ya bendera yetu lakini sehemu kumbwa ya jezi zao zingeonyesha utalii wa Serengeti ili kumaanisha jina la timu.
MO11 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 19,057 Reaction score 39,387 Apr 7, 2017 #2 jezi za juventus turin hizo
jerrytz JF-Expert Member Joined Oct 10, 2012 Posts 5,975 Reaction score 4,266 Apr 7, 2017 #3 Malinzi huwa anapita pita humu.
Random JF-Expert Member Joined Jan 8, 2017 Posts 791 Reaction score 742 Apr 7, 2017 #4 Iz nt good... watawindwa kila match
Random JF-Expert Member Joined Jan 8, 2017 Posts 791 Reaction score 742 Apr 7, 2017 #5 Ranginya chui ipo poa sana
NAKEMBETWA JF-Expert Member Joined Apr 20, 2012 Posts 3,517 Reaction score 3,135 Apr 7, 2017 #6 Hata rangi ya fisi ipo poa tu mbona?
Fstborn JF-Expert Member Joined Nov 27, 2016 Posts 507 Reaction score 527 Apr 7, 2017 #7 Guava said: Ranginya chui ipo poa sana Click to expand... Ya chui mzuka!
kavulata JF-Expert Member Joined Aug 2, 2012 Posts 13,778 Reaction score 14,214 Apr 10, 2017 Thread starter #8 Fstborn said: Ya chui mzuka! Click to expand... hata ya antelope inafaa tu, ilimladi ionekane tunajali mbuga yetu hiyo ya serengeti
Fstborn said: Ya chui mzuka! Click to expand... hata ya antelope inafaa tu, ilimladi ionekane tunajali mbuga yetu hiyo ya serengeti
Askari Muoga JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 6,113 Reaction score 4,658 Apr 10, 2017 #9 mm nashauri waweke kichwa cha mwenda wazimu