Jezi Ya Simba SC itakayotambulishwa baadae

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Hongereni Makolo. Naona Uzi ni mkali.

Ila bado hamjafikiaa level za. ubunifu za Mabingwa wa mara zote wa LigiKUU Tanzania Bara.
20220807_085059.jpg
 
Friend rangers 0 –9 yanga sport club
Transit camp 1–5 yanga sport club
Vipers 2–0 yanga sport club

CAF juma tatu wanapanga team za awali imagine hao mmejichagulia wenyewe hamjachaguliwa na CAF mmebakisha mechi mbili mrudi avic town mkacheze na wavuvi wenu.
 
One Team, One Dream
Achana Na Yale Majezi Ya Mtani Yenye Hamza
 
Friend rangers 0 –9 yanga sport club
Transit camp 1–5 yanga sport club
Vipers 2–0 yanga sport club

CAF juma tatu wanapanga team za awali imagine hao mmejichagulia wenyewe hamjachaguliwa na CAF mmebakisha mechi mbili mrudi avic town mkacheze na wavuvi wenu.
😂🤣😅😆😁😄😃😃😃😀😁😁😁
 
Vipers hawana shughuli ndogo.
mazoezi kwao mechi.
unanipiga kwenye shughuli yangu
Friend rangers 0 –9 yanga sport club
Transit camp 1–5 yanga sport club
Vipers 2–0 yanga sport club

CAF juma tatu wanapanga team za awali imagine hao mmejichagulia wenyewe hamjachaguliwa na CAF mmebakisha mechi mbili mrudi avic town mkacheze na wavuvi wenu.
 
Friend rangers 0 –9 yanga sport club
Transit camp 1–5 yanga sport club
Vipers 2–0 yanga sport club

CAF juma tatu wanapanga team za awali imagine hao mmejichagulia wenyewe hamjachaguliwa na CAF mmebakisha mechi mbili mrudi avic town mkacheze na wavuvi wenu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Friend rangers 0 –9 yanga sport club
Transit camp 1–5 yanga sport club
Vipers 2–0 yanga sport club

CAF juma tatu wanapanga team za awali imagine hao mmejichagulia wenyewe hamjachaguliwa na CAF mmebakisha mechi mbili mrudi avic town mkacheze na wavuvi wenu.
Make Kwanza ncheke[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii timu imekaa kiindihindi. Tambuu na kujisaidia pembeni ya reli.
 
Naona huyu hawara wa Hersi ameamka baada ya kipigo cha jana
 
Ni kubeti tu sasa. Kila jezi ni kampuni ya kamari. Watuletee jez exclusive zisizo na matangazo ya kamari
Hao ndio watoaji pesa kwa sasa, kwani , ndiko kwenye pesa za bure bure, makampuni mengine yako hoi kiuchumi!!
 
Friend rangers 0 –9 yanga sport club
Transit camp 1–5 yanga sport club
Vipers 2–0 yanga sport club

CAF juma tatu wanapanga team za awali imagine hao mmejichagulia wenyewe hamjachaguliwa na CAF mmebakisha mechi mbili mrudi avic town mkacheze na wavuvi wenu.
Vipers walikuwa na hasira naskia walivyopata habari kuwa wanacheza na timu ya Tanzania onayojiita timu ya wananchi

Jamaa wakasema kumbe ndio nyinyi wananchi mlitupigia kiongozi wetu kwenye mgogoro wa kagera
 
Back
Top Bottom