Ha ha ha upo nyuma ya popoma unafanya nini?Mtoa mada nipo NYUMA yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha upo nyuma ya popoma unafanya nini?Mtoa mada nipo NYUMA yako
Ok. Zilizozinduliwa miaka ya nyuma zilikuwa za kuishia robo fainaliChanzo Taarifa: EFM Sports Headquarters
Na kwa taarifa ambazo GENTAMYCINE nimehakikishiwa na Watu wa ndani Simba SC ni kwamba kuna Uwezekano baada ya Jezi Kuzinduliwa leo kati ya Saa 10 Jioni hadi Saa 1 Usiku kwa Uzuri wake zikanunuliwa kwa Kasi zote nchini na kuisha.
Pia kuna uwezekano hata Marais wa Marekani Joe Biden na wa Ufaransa Emanuel Macron wakampigia Simu Rais wa Tanzania Samia Hassan wakiomba Simba SC iende katika Ikulu zao kwa Mualiko Maalum.
Shikamoo Sandaland kwa Jezi Kali!!!!
njoo nyankumbu toka huko utaliwa na fisi weweJenta my sin. Jezi nitapata wapi nipo Nyantorotoro.
kumbe mnapenda mamb za ikulu mpk na nyinyi mnaota mpate ka mwaliko pale chamwino!!!Chanzo Taarifa: EFM Sports Headquarters
Na kwa taarifa ambazo GENTAMYCINE nimehakikishiwa na Watu wa ndani Simba SC ni kwamba kuna Uwezekano baada ya Jezi Kuzinduliwa leo kati ya Saa 10 Jioni hadi Saa 1 Usiku kwa Uzuri wake zikanunuliwa kwa Kasi zote nchini na kuisha.
Pia kuna uwezekano hata Marais wa Marekani Joe Biden na wa Ufaransa Emanuel Macron wakampigia Simu Rais wa Tanzania Samia Hassan wakiomba Simba SC iende katika Ikulu zao kwa Mualiko Maalum.
Shikamoo Sandaland kwa Jezi Kali!!!!
Nyankumbu bush. Mimi naishi town. Ihayabuyaga.njoo nyankumbu toka huko utaliwa na fisi wewe
Nyantorotoro, sio Geita hii?Jenta my sin. Jezi nitapata wapi nipo Nyantorotoro.
Hapana mkuu ni KishimbanzobeNyantorotoro, sio Geita hii?
Ndio wapiHapana mkuu ni Kishimbanzobe
Ndio KishimbanzobeNdio wapi
Ndo hiiChanzo Taarifa: EFM Sports Headquarters
Na kwa taarifa ambazo GENTAMYCINE nimehakikishiwa na Watu wa ndani Simba SC ni kwamba kuna Uwezekano baada ya Jezi Kuzinduliwa leo kati ya Saa 10 Jioni hadi Saa 1 Usiku kwa Uzuri wake zikanunuliwa kwa Kasi zote nchini na kuisha.
Pia kuna uwezekano hata Marais wa Marekani Joe Biden na wa Ufaransa Emanuel Macron wakampigia Simu Rais wa Tanzania Samia Hassan wakiomba Simba SC iende katika Ikulu zao kwa Mualiko Maalum.
Shikamoo Sandaland kwa Jezi Kali!!!!
Mkoa ganiNdio Kishimbanzobe