Jezi ya Simba SC itakayozinduliwa leo ni ya Kuchukua Vikombe vyote na siyo za Kuishia Fainali na Kulalamika kuhujumiwa

Ok. Zilizozinduliwa miaka ya nyuma zilikuwa za kuishia robo fainali
 
kumbe mnapenda mamb za ikulu mpk na nyinyi mnaota mpate ka mwaliko pale chamwino!!!
 
Ndo hii
 
Kali sanaaaaaa[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]ile nyaupe naenda kesho kununua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…