Jezi ya Yanga ni 'NZITO'

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] walikua wana lala na viatu, wameponea chupu chipu. Uwiiiiiih
 
Sawa, lakini ni dakika za mchezo pia ili zitimie dakika 90..!! Kwani wakati zinaitwa dakika za lala salama kwa Yanga, hao prison wao zilikuwa dakika za amka salama?
Sijui ingekuaje zingeongezwa dakika kama Azam FC tukapata goli wangeongea sana hawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…