Jezi ya Yanga ni 'NZITO'

[emoji23][emoji23][emoji23] Pole sana

Vipi Simba
 
Magoli alofungwa kipa wa Simba, angekuwa Yanga amecheza na timu nyingine angeshinda yale magoli, Simba wangesema huyo kipa kapewa bahasha.
 
Mshana Jr hakika ni mapafu ya mbwa na kisiki cha mpingo😃, haukimbii uzi wake.
Vijana kila wakiupandisha yupo, mwishowe wanakimbia wenyewe😀
 
Mshana Jr hakika ni mapafu ya mbwa na kisiki cha mpingo[emoji2], haukimbii uzi wake.
Vijana kila wakiupandisha yupo, mwishowe wanakimbia wenyewe[emoji3]
Mzazi anayetelekeza mwanae huyo si mzazi bora by the way huh uzi shida yake ninini? Jana waliocheza ni Azam na SIMBA, hao wengine wamekuja tu kujifariji [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…