Jezi ya Yanga yaonekana kwenye wimbo rasmi wa AFCON 2024

Mie nilidhani mmewapiga mafirauni na kuhama mkiani kumbe ni jezi tu [emoji23] [emoji23].

Upo siriazi na hili bandiko kijana? au ndio mambo ya kufilisika kifikra hadi unasambaza huo ujinga?
Kama Yanga angekuwa kwenye group la kolo ..... Yanga angeongoza lile kundi

Japo sio mshabiki...ila kundi la Yanga ni gumu mno
 
Yanga tuna jezi bora
Yaah mkuu Haina mabango
1700675460904.jpg
 
Kama Yanga angekuwa kwenye group la kolo ..... Yanga angeongoza lile kundi

Japo sio mshabiki...ila kundi la Yanga ni gumu mno
Gumu kivipi..leo ndo mnaona gumu??.tulivyokua tunapangiwa Alhly mlikua mnasemaje??
Na sisi tungekua kundi lenu tungekua na point 6....
Leo mnaigopa medeama? Si mlisema hao mnajichukulia point 6 kilainiii
 
Dah! Ila Mashabiki wa utopolo !!!! Siyo nyie Wakati simba anatoa sare na Ahly mlisema Ahly kwa sasa ni dhaifu mtampiga nje ndani ? Leo tena limekuwa kundi gumu?

Haya hameni kundi mrudi huku aliko simba ili muongoze kundi.
 
Hii ni ligi ya mabingwa we sema tu kwamba Uto CAFCL sio level yake na ndio maana kashika mkia [emoji23][emoji23]
tutakuelewa we sema wala usiogope.
Yanga wanacheza soka Kali sana
 
Gumu kivipi..leo ndo mnaona gumu??.tulivyokua tunapangiwa Alhly mlikua mnasemaje??
Na sisi tungekua kundi lenu tungekua na point 6....
Leo mnaigopa medeama? Si mlisema hao mnajichukulia point 6 kilainiii
Kwa medeana tuna point 6

Ila mnaishindwaje Ile timu ya botswana...
 
UZI WA WANANCHI KATIKA ANGA ZA KIMATAIFA.

Jezi ya Yanga ndio jezi ndio jezi ya vilabu iliyotumika kwenye wimbo rasmi wa AFCON 2025.

Imevaliwa na zaidi ya watu wawili kwenye video ya wimbo huo....... kumbuka AFCON haiusiani na vilabu lakini jezi ya Yanga ipo

NB Maendeleo hayana Chama [emoji23]
#FutbalPlanetUpdatesView attachment 2832136
Kwani na yule wa kule nyuma siyo mo xtra kweli! aka Mo Foundation.
 
Dah! Ila Mashabiki wa utopolo !!!! Siyo nyie Wakati simba anatoa sare na Ahly mlisema Ahly kwa sasa ni dhaifu mtampiga nje ndani ? Leo tena limekuwa kundi gumu?

Haya hameni kundi mrudi huku aliko simba ili muongoze kundi.
Impossible mkuu
 
Back
Top Bottom