[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hili n tofali la shingo apostle utauaMbona hakuna Mo Extra kifuani? Sio jezi yenu hiyo [emoji28][emoji28]
Baby Acha wivu🤣Na ile ya Simba kule nyuma ni vest yako??
Kama Yanga angekuwa kwenye group la kolo ..... Yanga angeongoza lile kundiMie nilidhani mmewapiga mafirauni na kuhama mkiani kumbe ni jezi tu [emoji23] [emoji23].
Upo siriazi na hili bandiko kijana? au ndio mambo ya kufilisika kifikra hadi unasambaza huo ujinga?
Wanaelewa 😅😅[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hili n tofali la shingo apostle utaua
Hii ni ligi ya mabingwa we sema tu kwamba Uto CAFCL sio level yake na ndio maana kashika mkia 😂😂Kama Yanga angekuwa kwenye group
Huyu kazidi na mada zake..napenda kumkorofisha tuu... 😆 😆Baby Acha wivu🤣
Gumu kivipi..leo ndo mnaona gumu??.tulivyokua tunapangiwa Alhly mlikua mnasemaje??Kama Yanga angekuwa kwenye group la kolo ..... Yanga angeongoza lile kundi
Japo sio mshabiki...ila kundi la Yanga ni gumu mno
Dah! Ila Mashabiki wa utopolo !!!! Siyo nyie Wakati simba anatoa sare na Ahly mlisema Ahly kwa sasa ni dhaifu mtampiga nje ndani ? Leo tena limekuwa kundi gumu?Kama Yanga angekuwa kwenye group la kolo ..... Yanga angeongoza lile kundi
Japo sio mshabiki...ila kundi la Yanga ni gumu mno
mmewekwa nyuma kama MOXTRA!!!Ila hamfiki robo fainali
Kwa medeana tuna point 6Gumu kivipi..leo ndo mnaona gumu??.tulivyokua tunapangiwa Alhly mlikua mnasemaje??
Na sisi tungekua kundi lenu tungekua na point 6....
Leo mnaigopa medeama? Si mlisema hao mnajichukulia point 6 kilainiii
Kwani na yule wa kule nyuma siyo mo xtra kweli! aka Mo Foundation.UZI WA WANANCHI KATIKA ANGA ZA KIMATAIFA.
Jezi ya Yanga ndio jezi ndio jezi ya vilabu iliyotumika kwenye wimbo rasmi wa AFCON 2025.
Imevaliwa na zaidi ya watu wawili kwenye video ya wimbo huo....... kumbuka AFCON haiusiani na vilabu lakini jezi ya Yanga ipo
NB Maendeleo hayana Chama [emoji23]
#FutbalPlanetUpdatesView attachment 2832136
Impossible mkuuDah! Ila Mashabiki wa utopolo !!!! Siyo nyie Wakati simba anatoa sare na Ahly mlisema Ahly kwa sasa ni dhaifu mtampiga nje ndani ? Leo tena limekuwa kundi gumu?
Haya hameni kundi mrudi huku aliko simba ili muongoze kundi.