wawekezaji walokuja kuuza maduha😡😡😡😡😡😡😡😡Wachina wa Kariakoo kama nawaona vile wakikesha kutoa copy ili kesho zipatikane. Ngoja tusubiri
Umeumizwa wapi??Wanatumia udhaifu ule ule wa kufikiri wa waAfrica kunyakua nyakua mapesa , wame overate price kwa sababu kuzidiana kuonesha ufahari kumbe wanatuumiza kwa kutumia psychology
Jesi original ndo bei yake hiyo mkuu..jesi kama ya man united ni $107Wanatumia udhaifu ule ule wa kufikiri wa waAfrica kunyakua nyakua mapesa , wame overate price kwa sababu kuzidiana kuonesha ufahari kumbe wanatuumiza kwa kutumia psychology
Aaah haa mbona kakaza mkuu aaaNamuona Star Boy Wizzy,huyu dogo sio shoga kweli mbona kalegea sana
Hiyo ni bei ya shirt pekee mkuu?Jesi original ndo bei yake hiyo mkuu..jesi kama ya man united ni $107
Hao jamaa ni global citizens hata kariakoo wapo wa kutosha mkuuAisee London ina wa Nigeria wengi sana.
HahahahaKariakoo zimefika jana tayari zipo kibao
Najua bei ya jezi huwa ni Kubwa sana lkn huwa haimaanishi kwamba gharama kubwa zinatumika kwny uzalishaji,huwa zinauzwa hivyo ili kuonyesha support/loyalty kwa timu zao na kama njia ya mapato kwa klabu,haya niambie Nigeria inahitaji mapato gani?Wala sio bei sema tu kipato chako cha wasiwasi, wewe kanunue Kariakoo 20K.
Mkuu acha hizo ... Aisee [emoji23] [emoji23]Namuona Star Boy Wizzy,huyu dogo sio shoga kweli mbona kalegea sana
Nigeria passport ni kama barua ya serikali ya mtaa tu, kinachowasumbua huwa ni VISA tu.Kila nchi wamejazana sana
Ndio mkuu..Hiyo ni bei ya shirt pekee mkuu?