Jezi za Nigeria zatajwa kuwa ni nzuri kuliko zote kwenye michuano ya Kombe la Dunia 2018, nchini Russia

Jezi za Nigeria zatajwa kuwa ni nzuri kuliko zote kwenye michuano ya Kombe la Dunia 2018, nchini Russia

Kariakoo mapema sana zimefika, ila sina imani kama ni OG
 
Hii kwangu inaweza kuwa moja ya jersey za hovyo sana... kweli uzur upo machoni pa mtu?
 
Ingekuwa soka ni uchawi Nigeria kombe la duniaa pangekuwa museum kila mtanange linabaki home
 
Back
Top Bottom