Yeah ni bonge ya jezi aiseee lkn pia na hizi kampuni ziache kuover price sport kits,huwezi muuzia mtu nguo ya juu pekee kwa bei hiyo,shout outs kwa starboi imemtoa balaa
Mpe tu kijambio alafu utume mrejeshoNamuona Star Boy Wizzy,huyu dogo sio shoga kweli mbona kalegea sana
Jezi nzuri sana ila wasiwe kama timu za afrika mashariki huko,wakacheze mpira.
kula tano mwana,mijezii MIBAYAAA bora hata za Stars bana🙂🙂🙂🙂Mh huwenda mimi niko tofauti na nyie sijaona Uzuri wa hiyo Jezi michoro mingi hii jezi au ubao wa Draft.
Cha kusikitisha zaidi kuna watu bado wataja nunua midisho hiyo ya kichina kwa price ya original ili wakaoshe kama wiz kid[emoji23][emoji23]Wachina wa Kariakoo kama nawaona vile wakikesha kutoa copy ili kesho zipatikane. Ngoja tusubiri
Argentina namba zao zimeandikwa na vipofu hazina jipyaAise jezi Kama za kike vile! Havai mtu hapa
Bado sijaona jezi nzuri kama za
- Argentina
- Germany
- croatia
Tuko pamoja Halla mumu...Halla Nigeria...
[emoji16][emoji16][emoji16]Tuko pamoja Halla mumu...
Aisee mm siwezi kuvaa hata nyumbani...Hizi jezi unaweza ukazivaa hadi kanisani jumapili yaan fresh tuu
Jezi.kali iyo weweAisee mm siwezi kuvaa hata nyumbani...
hayo makorocho mengi hivyo...hamna ukali wowote, na rangi ipo bright sana..Jezi.kali iyo wewe
Zlatan tena babe!![emoji15][emoji15][emoji23][emoji23]Hii jezi natamani avae zlatan ibrahimovic[emoji4]