Jezi za Simba zimejaa radi(Thunderstorm), Tuna Safari ndefu ya ubunifu Tanzania

Hizi ndio akili za warembo
Byuti byuti
 
Ila barcelona wakivaa kijani au Man u wakivaa pink hawajatoka kwenye asili yao. Ajax walipovaa rangi za bendera ya ethiopia msimu uliopita ilikuwa ni asili yao na ubunifu.
Haya sasa tueleze rangi nyeusi na kijivu wanazotumia Yanga kama ni asili yao.
 
Kawaida ya mchawi ni kudiss kila kitu kizuri πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Yanga wenzio wamefurika Vunjabei kununua jezi ya Simba sababu ni kali sana wewe unakomaa kuikandia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…