Hao we...kundu ndo umechomekewa mwiko nyuma.(we kundu wa msimbazi)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao we...kundu ndo umechomekewa mwiko nyuma.(we kundu wa msimbazi)
Kabisaa shangaziii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kabisa aunt inasahaulisha Hadi tozo[emoji23][emoji23][emoji23]
kamguu safi cha kumachisha wasikasahau
Hizi ndio akili za waremboHongereni M bet kwa kufanya nembo yenu ing'ae kwa kuamua kuchora picha za radi jezi yote ya simba
Jezi zina muundo wa kike sana, Au simba wanaume mambo yenu sio haba? Mmezoea Mombasa wana simba kwa muundo ule wa jezi mashalah
Jezi za Simba ni moja ya vituko vya mjini, Unawezaje kujaza radi kwenye jezi yote, Neno linaloonekana ni M Bet
Tuache unafiki, Hizi jezi za Simba kwa muonekano zina tofauti gani na za mwaka jana, Zaidi mwaka huu zimejazwa radi
Picha za waliovaa jezi ni wale wenye miwili wa Six pack at least zimewafit, Sasa wewe na Mimi na miili yetu ya milima na mabonde ndio Itakuwa kituko kamili
Ubunifu Tanzania ni Sifuri, Jezi zote za ulaya zimetoka mnashindwa hata kucopy ya Team moja wapo kimuundo mkabadili Rangi tu
Sasa miezi yote hii mnatoa jezi ya kishamba namna hii
Ule muundo wa chini wa hizi jezi mpya unawachoresha baadhi ya wanaume wowo zao
Ni dhahiri ule muundo wa chini wa jezi unawafaa watu ambao ni models of na wenye six pack zao, Wengine zitawachoresha wowo
Ila barcelona wakivaa kijani au Man u wakivaa pink hawajatoka kwenye asili yao. Ajax walipovaa rangi za bendera ya ethiopia msimu uliopita ilikuwa ni asili yao na ubunifu.Hi jezi ni kituko kwanza Simba wanatoka katika asili yao ya Red & White
Kwa timu kubwa kama simba ilitakiwa wawe wanashindanisha wasanii wa kuchora ili kupata jezi Mpya wangekuwa wanapata jezi bora kabisa kila mwaka
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Nyuma mwikoHao we...kundu ndo umechomekewa mwiko nyuma.(we kundu wa msimbazi)
Kawaida ya mchawi ni kudiss kila kitu kizuri 😂😂😂 Yanga wenzio wamefurika Vunjabei kununua jezi ya Simba sababu ni kali sana wewe unakomaa kuikandiaHongereni M bet kwa kufanya nembo yenu ing'ae kwa kuamua kuchora picha za radi jezi yote ya simba
Jezi zina muundo wa kike sana, Au simba wanaume mambo yenu sio haba? Mmezoea Mombasa wana simba kwa muundo ule wa jezi mashalah
Jezi za Simba ni moja ya vituko vya mjini, Unawezaje kujaza radi kwenye jezi yote, Neno linaloonekana ni M Bet
Tuache unafiki, Hizi jezi za Simba kwa muonekano zina tofauti gani na za mwaka jana, Zaidi mwaka huu zimejazwa radi
Picha za waliovaa jezi ni wale wenye miwili wa Six pack at least zimewafit, Sasa wewe na Mimi na miili yetu ya milima na mabonde ndio Itakuwa kituko kamili
Ubunifu Tanzania ni Sifuri, Jezi zote za ulaya zimetoka mnashindwa hata kucopy ya Team moja wapo kimuundo mkabadili Rangi tu
Sasa miezi yote hii mnatoa jezi ya kishamba namna hii
Ule muundo wa chini wa hizi jezi mpya unawachoresha baadhi ya wanaume wowo zao
Ni dhahiri ule muundo wa chini wa jezi unawafaa watu ambao ni models of na wenye six pack zao, Wengine zitawachoresha wowo
Jezi ya yanga ina mapicha had ya makaburiIle jezi ya yanga yenye magorofa ya Tanzania nzima kwani nani kakuambia usinunue.