Kwahyo hata kkoo zipo?? Au kwa vunjabei tyuuh??Walisema zitakuwepo kuanzia jumanne Leo nimepita mwembechai nimeziona zitakuwa zimeshafika
Nahisi zitakuwepoKwahyo hata kkoo zipo?? Au kwa vunjabei tyuuh??
Zinauzwa 60k. MweeeehNahisi zitakuwepo
Vunja Bei amechemshaZinauzwa 60k. Mweeeeh
Yaaan khaaaah, sijui huu mwaka imekuaje, lolVunja Bei amechemsha
Ndo mwanzo wa nyie makolo kupoteana dadekiii zenuYaaan khaaaah, sijui huu mwaka imekuaje, lol
fred ndo anaenda kupoteza mapato simba walishavuta pesa yao kitamboZinafyatuliwa fake ti sasa hivi. Hata mzigo wa pili ukiletwa hautauza sana. Simba wanaenda kupoteza mapato mengi sana kwenye hii ishu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kisa jezi?? Sio nyie uongozi unaoparaganyika??Ndo mwanzo wa nyie makolo kupoteana dadekiii zenu
🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kisa jezi?? Sio nyie uongozi unaoparaganyika??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uongozi unavurumuka tyuuh, lol.[emoji1787][emoji1787]
Kufikia saa tatu mshavurugana,tunza hii sms[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uongozi unavurumuka tyuuh, lol.
Amekosa suport ya GSMYaaan khaaaah, sijui huu mwaka imekuaje, lol