Jezi za Simba zimeletwa kwa awamu ya pili?

Jezi za Simba zimeletwa kwa awamu ya pili?

kj75

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2019
Posts
539
Reaction score
637
Habar Wana jamvi,

Niende kwenye mada moja kwa moja wiki iliyopita jezi za Simba zilizinduliwa ila baadhi ya watu tulikosa Na walisema baada ya siku mbili Sasa jamani nauliza VP zimekuja Tena kwa awamu nyingine ili nikachukue kabla ya jumamos
 
Walisema zitakuwepo kuanzia jumanne Leo nimepita mwembechai nimeziona zitakuwa zimeshafika
 
Zinafyatuliwa fake ti sasa hivi. Hata mzigo wa pili ukiletwa hautauza sana. Simba wanaenda kupoteza mapato mengi sana kwenye hii ishu
 
Zinafyatuliwa fake ti sasa hivi. Hata mzigo wa pili ukiletwa hautauza sana. Simba wanaenda kupoteza mapato mengi sana kwenye hii ishu
fred ndo anaenda kupoteza mapato simba walishavuta pesa yao kitambo
 
Fred vunjabei yeye kazi yake kuona wanaume wasiokuwa na hela ya kuonga ni mabwege mwache aonge hadi mtaji
 
Mkiambiwa hiyo club inaongozwa na masela hamtaki kuelewa ..
Wahuni tu kina mangungu wafungua vikao hawajui lolote kuhusu biashara ya jezi..

Haya mambo GSM muacheni, nyie mkampa mkinga.
 
Back
Top Bottom