Jezi za Taifa Stars zimeangalia maslahi ya Yanga

Nyie kuweni wakweli Mtani huyo Naniliu hapo kushoto kwa Karie ndio kawafanya muone jezi mbaya na wala si hiyo rangi sababu hao wote wawili ni Simba lialia.
Mimi nipo najiuliza maswali mengi sana
Hapo yeye ni kama nami
Gundu la madogo wa Serengeti anataka kulileta tena
 
Hahaha yani TFF
Wanataka tukaipambe nchi ya mafarao na njano.

Ule Uzi wa zamani wa Green(kijani) tunge wakabizi tenda puma, Nike ama adidas watu tulee kitu cha mfano kama ule Uzi wa Niger uliotumika word cup
Ndio mshachelewa kuwasilisha haya mawazo. 😀😀😀 Uzi wa njano ndio huo unakwenda kuvaliwa Misri Mtani.
 

Hii ndio jezi tulioizoea kuwa ni ya Taifa hata wazungu wanaokuja kututembelea ili kuonyesha uzalendo huvaa hizi kama vazi la utambulisho wa nchi
 
Nimeona jezi mpya za timu ya Taifa zimetambulishwa Leo.
Haiwezekani jezi zote hazina rangi nyekundu,lazima wote tuletwe pa1 kupitia rangi za timu ya taifa.
Kubali kataa Tz kama sio simba/yanga.View attachment 1125390View attachment 1125392
Hii ndiyo sahihi, hata Jamal Rwambo shabiki wa Mikia FC alisema. Timu ya taifa inazingatia rangi za bendera ya Taifa. Period.
 
Kulikua kuna umuhimu wa kuleta jezi mpya?, mbona zile nyeupe zenye twiga na zile za blue ni nzuri kuliko hizi!

Katika miaka yangu yote ya kutazama mpira nimeona jezi za brazil, chile, England,spain etc ni zile zile miaka yote
Na wao wameweka rangi za timu yao.
 
Simba na Yanga sawa
Chadema na CCM sawa.
Uchaga na usukuma umefika mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…