Sanchez magoli
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 4,055
- 8,540
Mimi nipo najiuliza maswali mengi sanaNyie kuweni wakweli Mtani huyo Naniliu hapo kushoto kwa Karie ndio kawafanya muone jezi mbaya na wala si hiyo rangi sababu hao wote wawili ni Simba lialia.
Hapo yeye ni kama nami
Gundu la madogo wa Serengeti anataka kulileta tena