Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kama shirika letu la ndegeKatika pitapita zangu huku mitandaoni, nimekutana na comment zaidi ya moja ya watu wanaosifia kit ya jezi za Tanzania zilizotumika huko AFCON na nilipofuatilia inaonyesha watu hao siyo Watanzania. Hili ni jambo jema sana.
Hivi unajua hata hilo neno Taifa Stars nilakutunga ? Wazo lako bado zuri na ninalikubaliBasi siyo takwa la kisheria la CAF maana kuna nchi nyingine hazijaweka na point ya msingi ni utofauti wa sehemu za nyota za ubingwa zilipowekwa na pale ambapo nimeshauri TFF waweke.
Hahahah nafahamu hilo ila majina ya utani ya timu zote za taifa za Afrika yanatambulika na CAF, kuna makala zipo page ya CAF zinaelezea majina yote hayo na hata matangazo yao kwenye mechi wakati mwingine huwa wanayatumia hayo majina.Hivi unajua hata hilo neno Taifa Stars nilakutunga ? Wazo lako bado zuri na ninalikubali
Nakubaliana na wewe ingawa hizo zote zimependwa na wadau.Ukiachana na quality kimuonekano ile jezi ya blue ilikua nzuri sana. Ile yenye michirizi ya blue na njano sio mbaya ila haitupendezi ingefaa zaidi kuwa jezi ya timu ya taifa ya Rwanda, ile nyeusi ndio sijaielewa kabisaaaaaa.
Kwa kumalizia, nadhani katika maboresho ya jezi kuu inahitaji pia kuwa na alama ya nyota kuleta maana nzima ya "Taifa Stars". Nyota inaweza kukaa moja kifuani kama ya Ghana au tukazipanga kama 3 hivi mabegani kumaanisha mastar wetu ni wapiganaji wetu.
Hilo jina tulipoenda kwenye mashindano nje hatukua na jina la utani ktk kuulizana waite jina gani ..Coach Mzee Gwivaha akaropoka hawa ni Taifa Stars mtangazaji wa kigeni akapita nalo ..akawa anatangaza kwa kuwatambulisha watanzania timu yao ni taifa Stars waliopatikana kupitia michezo ya taifa cup ( ilishirikisha kila mkoa ) siku hz sioni haya mashindanoHahahah nafahamu hilo ila majina ya utani ya timu zote za taifa za Afrika yanatambulika na CAF, kuna makala zipo page ya CAF zinaelezea majina yote hayo na hata matangazo yao kwenye mechi wakati mwingine huwa wanayatumia hayo majina.
Unataka kusema watatuuliza kwa nini tumeweka nyota? 🤣😂🤣
Ila naona kama hili jina hatujawa na bahati nalo, labda tulifanyie maboresho kidogo tuondoe gundu. Twende na "The Stars" au "The Shining Stars" au turudi kwa wanyama kama "Simba" maana timu zote zinazotumia jina hilo zinakuwaga za motooo 🤣😅🤣Hilo jina tulipoenda kwenye mashindano nje hatukua na jina la utani ktk kuulizana waite jina gani ..Coach Mzee Gwivaha akaropoka hawa ni Taifa Stars mtangazaji wa kigeni akapita nalo ..akawa anatangaza kwa kuwatambulisha watanzania timu yao ni taifa Stars waliopatikana kupitia michezo ya taifa cup ( ilishirikisha kila mkoa ) siku hz sioni haya mashindano
Ndo mijadLa mnapenda et jezi .sokaapuKosa moja kubwa sana hakuna ile nembo ya bendera.
Hili nalo neno MkuuIla naona kama hili jina hatujawa na bahati nalo, labda tulifanyie maboresho kidogo tuondoe gundu. Twende na "The Stars" au "The Shining Stars" au turudi kwa wanyama kama "Simba" maana timu zote zinazotumia jina hilo zinakuwaga za motooo 🤣😅🤣
Pia tumrudie Mzee Mwinyi afute ile kauli yake maana inawezekana nayo inatuandama.
Ujinga ni nini? Ujinga ni kusifiwa jezi wakati matokeo ya uwanjani ovyo kabisa