Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Unatuuliza sisi au Ibrahim Benzaza wa USM Algiers?Mmeacha kununua nyanya puzo zenu za vunja bei
Nenda Villa Park pale hadi buku 5Huku Mwanza tunapataje mzigo
Mark my words braza. Msimu huu mna kombe moja tu mlilolichukua kwa kuhonga marefa.Wasiokua na hata mapinduzi cup wala mbuzi cup roho imewashuka.
Anyway vip ASFC mnashabikia timu gani, azam au yanga? Mkumbuke azam aliwadunga 2-1
zunguka kwenye vijiwe vya wanazengo hukosiHuku Mwanza tunapataje mzigo