Jezi za USM Algers zauzwa kama njugu mitaa ya Nyamigogo na Tangi Bovu

Jezi za USM Algers zauzwa kama njugu mitaa ya Nyamigogo na Tangi Bovu

Ng'wanamangilingili

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2015
Posts
5,778
Reaction score
4,859
Uzi unajieleza, ilikua ni buku mbawa tu kwa jezi huku scarf zikienda kwa jero add zero.

Nafikiri kesho vibanda umiza na sehemu za sports bar zitatamaradi.

Roho mbaya roho mbaya tu. Ujugu arena.

Kila la kheri Yanga ingawa rais wenu alivaa jezi ya Kaizer Chief siku ya game ya Simba pale kwa Mkapa.

Ni 1vs1 ama 3 ujugu. 2vs1 ishapita ile ilitimia.

Guvu moya.
 
Aloo nimezitafuta sana bila mafanikio kumbe zipo mitaa hiyo?
 
Wasiokua na hata mapinduzi cup wala mbuzi cup roho imewashuka.

Anyway vip ASFC mnashabikia timu gani, azam au yanga? Mkumbuke azam aliwadunga 2-1
 
Wasiokua na hata mapinduzi cup wala mbuzi cup roho imewashuka.

Anyway vip ASFC mnashabikia timu gani, azam au yanga? Mkumbuke azam aliwadunga 2-1
Mark my words braza. Msimu huu mna kombe moja tu mlilolichukua kwa kuhonga marefa.
Azam pale Mkwakwani anawakanyaga kama madhara
 
Imagine unashabikia chama la tajiri kijana Afrika afu halina uwezo wa kubeba makombe, yaani unasubiri YANGA ya bakuri ndio utambe mtaa, usiumie moyo weyee ndio mpira ulivyo.[emoji1787]
 
Back
Top Bottom