Kumbuka mkandarasi wa jezi wa Yanga ni GCM, namna ya kubuni na kutengeneza anajua atampa kazi nani. Swali la kujiuliza, Je, GCM atakubali achome hela kwa kuwapa Nike halafu aje abebe mzigo wa kuzitafuta kwa faida kutoka kwa wamatumbi? Mkataba wa jezi wa Yanga upo tofauti na wa Yanga. Simba wana mkandarasi wa jezi, Yanga wana mdhamini wa jezi (ambaye kwa ndani ana wakandarasi). Kimsingi GCM ni dalali wa wakandarasi, ameongeza mlolongo ili akate chakeWadau hivi ni kweli kwamba Yanga walivunja mkataba na Sheria Ngowi baada ya makubaliano na kampuni ya Nike kutiki? Nikweli Nike ndiyo watatengeneza jezi msimu huu?
Kumbe jezi zinatoka sana. Hiyo safi mashabiki wanayo hamasa ya kununua jeziAtaachaje wakati kila jezi mauzo Utopwinyo wanapata 1500/=, yap wapo vzr kumchangia GSM.
Utakuwa huna akili mkuu! Huna tofauti na Lucas Mwashambwa! Unajua milioni 100 ni jezi ngapi kama wanapata 1300 kwa kila jezi? Unafikri mautopolo hayauzi zaidi ya jezi laki 5? Zikiuzika hizo tu yana milioni 650!Gsm hapo yanga pesa zote anatoa kwneye jezi hawezi iachia iyo tenda kwa nike ambao wao pia ni watengenezaji wa jezi sheria ngowi ni mbunIfu tuu ambae alikuwa anaifanyoa kazi GSm hausiki na utengenezaji wala usambazaji,
GSM ukija mtoa kwenye ilo chaka la jezi anaweza hata susia udhamini mana pesa zote za kuisaidia yanga anatoa hapo jezi 45k wao yanga wanapata 1300 tu. Nyingine zote anabeba GSM
Mapato ya yanga kwenye jezi hayafiki hata mil 100 kwa msimu hata wauze vipi wana rate kwemye 45-60M.
Kuna msimu ule jezi zilikuwa na ramani ya africa ule msimu yanga mapato yao walitangaza kwenye mkutano wao yalikuwa ni mil 45 tu.
Kwani ngowi ndo alikuwa anatengeneza jezi ?Wadau hivi ni kweli kwamba Yanga walivunja mkataba na Sheria Ngowi baada ya makubaliano na kampuni ya Nike kutiki? Nikweli Nike ndiyo watatengeneza jezi msimu huu?
πππππ bongo nyosoYanga walishawai kuvaa jezi zenye Nike.
Ila hawakuwa na mkataba na Nike.
Hivyo sio mara ya kwanzaView attachment 3426814
Anta ndio brand ya michezo ya GSMWadau hivi ni kweli kwamba Yanga walivunja mkataba na Sheria Ngowi baada ya makubaliano na kampuni ya Nike kutiki? Nikweli Nike ndiyo watatengeneza jezi msimu huu?
Hii balaa aisee mkuu kumbe mambo ndo yalivyo πKumbuka mkandarasi wa jezi wa Yanga ni GCM, namna ya kubuni na kutengeneza anajua atampa kazi nani. Swali la kujiuliza, Je, GCM atakubali achome hela kwa kuwapa Nike halafu aje abebe mzigo wa kuzitafuta kwa faida kutoka kwa wamatumbi? Mkataba wa jezi wa Yanga upo tofauti na wa Yanga. Simba wana mkandarasi wa jezi, Yanga wana mdhamini wa jezi (ambaye kwa ndani ana wakandarasi). Kimsingi GCM ni dalali wa wakandarasi, ameongeza mlolongo ili akate chake
Jezi laki 5 ananunua nani? Unaumwa wewe??Utakuwa huna akili mkuu! Huna tofauti na Lucas Mwashambwa! Unajua milioni 100 ni jezi ngapi kama wanapata 1300 kwa kila jezi? Unafikri mautopolo hayauzi zaidi ya jezi laki 5? Zikiuzika hizo tu yana milioni 650!