SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Kwa muda mrefu kuna watu walikuwa wameshupalia maandishi ya Mo Dewji Foundation yaliyo nyuma ya jezi ya Simba. Kejeli zikawa nyingi pamoja na kwamba maandishi hayo yapo kiunoni na si makalioni.
Cha ajabu, jezi mpya za Yanga zina maandishi makalioni kabisa pale mstari wa makalio unapoanzia ila sijasikia vilio kutoka kwa wale waliokuwa wanakejeli hapo mwanzo.
Huku ni kupevuka au tunaitaje kitaalamu?
changaule
kavulata
joseph1989