Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AaaaaahMaoni ya wadau [emoji23]
Lengo la hizi jezi la kwanza linawezakuwa ni kufanya biashara ila me nadhani lengo mama ni kuhakikisha hawapati furaha, watapatia wapi furaha kama wakipita mitaani wanakutana na jezi kama hizi [emoji23][emoji23]
Na la nyongeza hizi jezi zinaweza kusababisha watu fulani wakapatwa na yale magonjwa mawili yasiyo ya kuambukizaMaoni ya wadau [emoji23]
Lengo la hizi jezi la kwanza linawezakuwa ni kufanya biashara ila me nadhani lengo mama ni kuhakikisha hawapati furaha, watapatia wapi furaha kama wakipita mitaani wanakutana na jezi kama hizi [emoji23][emoji23]
Washamba wakubwa...inaonyesha jinsi gani mlivyo washamba....watu wana rekodi za kuwafunga 5 kwa 0...6 kwa 0 muwape presha kweli...Maoni ya wadau [emoji23]
Lengo la hizi jezi la kwanza linawezakuwa ni kufanya biashara ila me nadhani lengo mama ni kuhakikisha hawapati furaha, watapatia wapi furaha kama wakipita mitaani wanakutana na jezi kama hizi [emoji23][emoji23]
,[emoji23][emoji23] njoo GSM mall.....jezi ntakupa bure mkuuWashamba wakubwa...inaonyesha jinsi gani mlivyo washamba....watu wana rekodi za kuwafunga 5 kwa 0...6 kwa 0 muwape presha kweli...
Yale yale ya keki za unbeaten...
Hahahahahah....mmemuweka na Kibu Dee...mkandaji...
Huo ni utamaduni wa kawaida sana duniani kote hasa baada timu wanapokutana kupata matokeo mazuri dhidi ya mpinzani wake wa jadi. Kwa hiyo sio ushambaWashamba wakubwa...inaonyesha jinsi gani mlivyo washamba....watu wana rekodi za kuwafunga 5 kwa 0...6 kwa 0 muwape presha kweli...
Yale yale ya keki za unbeaten...
Hahahahahah....mmemuweka na Kibu Dee...mkandaji...
Zipo za kutosha mkuu.....unapewa na jeziCover za CD pia zinapatikana
View attachment 2808204
[emoji23][emoji23]tuchangamkie fulsaFremu za kupamba ukutani pia zinapatikana kwa bei nafuu
View attachment 2808206
wakinuna na wanune, sisi hayatuhusu.Maoni ya wadau [emoji23]