Jezi za Yanga za 5-1 zinapatikana madukani

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Ndugu mashabiki wa Simba na Yanga zile jezi za Yanga zilizokuwa zinasubiliwa Kwa Hali na Mali na mashabiki wote wa Simba na Yanga hapa Tanzania zimetoka.

Nyuma zimeandikwa 5-1 [emoji23][emoji23]
Kwa mashabiki wa Simba Kuna punguzo la bei

1699445866826.jpg
 
Maoni ya wadau [emoji23]

Lengo la hizi jezi la kwanza linawezakuwa ni kufanya biashara ila me nadhani lengo mama ni kuhakikisha hawapati furaha, watapatia wapi furaha kama wakipita mitaani wanakutana na jezi kama hizi [emoji23][emoji23]
 
Aaaaaah
 
Na la nyongeza hizi jezi zinaweza kusababisha watu fulani wakapatwa na yale magonjwa mawili yasiyo ya kuambukiza
 
Maoni ya wadau [emoji23]

Lengo la hizi jezi la kwanza linawezakuwa ni kufanya biashara ila me nadhani lengo mama ni kuhakikisha hawapati furaha, watapatia wapi furaha kama wakipita mitaani wanakutana na jezi kama hizi [emoji23][emoji23]
Washamba wakubwa...inaonyesha jinsi gani mlivyo washamba....watu wana rekodi za kuwafunga 5 kwa 0...6 kwa 0 muwape presha kweli...
Yale yale ya keki za unbeaten...
Hahahahahah....mmemuweka na Kibu Dee...mkandaji...
 
,[emoji23][emoji23] njoo GSM mall.....jezi ntakupa bure mkuu
 
Washamba wakubwa...inaonyesha jinsi gani mlivyo washamba....watu wana rekodi za kuwafunga 5 kwa 0...6 kwa 0 muwape presha kweli...
Yale yale ya keki za unbeaten...
Hahahahahah....mmemuweka na Kibu Dee...mkandaji...
Huo ni utamaduni wa kawaida sana duniani kote hasa baada timu wanapokutana kupata matokeo mazuri dhidi ya mpinzani wake wa jadi. Kwa hiyo sio ushamba
 
Maoni ya wadau [emoji23]

Lengo la hizi jezi la kwanza linawezakuwa ni kufanya biashara ila me nadhani lengo mama ni kuhakikisha hawapati furaha, watapatia wapi furaha kama wakipita mitaani wanakutana na jezi kama hizi [emoji23][emoji23]
wakinuna na wanune, sisi hayatuhusu.
 
Back
Top Bottom