Jezi za Yanga zazua gumzo Africa pages kubwa zapost

Oyaaaa, hakuna page iliyopost SANDA? Vibaya hivi jamani, hadi huruma sasa!
FB_IMG_1722141653937.jpg

Mmiliki wa nae akua nyuma kwenye kupongeza
 
Unamlipa mtu mamilioni ya pesa akae chini aumize kichwa atoke na ubunifu wa hali ya Juu,mpya wa kuvutia wa Jezi ya timu.

Alafu mbunifu mwenyewe sasa, anaenda hapo mitaa ya Mbagala tu, anajua Wadosi wa Salamanda awakanyagi pande hizo za Mbagala.

anatafuta Jezi ya Mbagala Veterans anaenda kutoa Copy and paste China.

Anachokiongeza ni nembo ya Magodoro na Daima mbele nyuma mwiko.

Mazuzu yanaiona Jezi yao yanapagawa ,Jamaa noma, Jamaa noma, Jamaa noma Jamaa noma

Noma wapi nyieeeeeee,Mmepigwaa.

IMG_20240728_221910.jpg
 
View attachment 3055467
[emoji23]
 
Back
Top Bottom