Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Pamoja na kwamba soka ni mchezo wa ushindani, lakini pia ni sehemu ya kuunganisha watu, kwa maana ya kutengeneza mahusiano mema katika Jamii.
Kitendo walichokifanya Yanga, cha kuweka kiganja cha Mkono kwenye Jezi yao kama ishara ya kuifunga Simba Bao 5 si tu kwamba kinakera, bali pia kinaweza kusababisha vurugu na Taharuki, Ngowi utambue kwamba kuna Maisha baada ya hizi Simba na Yanga, jitahidi kuwa na Heshima, kabla ya hawa wanaokulipa leo kulikuwa na Gulamali na Manji, leo wako wapi?
Naomba Mamlaka za Soka zizuie jezi hiyo kutumika