Jezi za Yanga zenye picha ya Kiganja cha mkono zizuiliwe, ni kejeli

Tumemuonya ili ajue kakosea
Screenshot_20240727_193744_Instagram.jpg

🖐😝
 
Pamoja na kwamba soka ni mchezo wa ushindani, lakini pia ni sehemu ya kuunganisha watu, kwa maana ya kutengeneza mahusiano mema katika Jamii.

Kitendo walichokifanya Yanga, cha kuweka kiganja cha Mkono kwenye Jezi yao kama ishara ya kuifunga Simba Bao 5 si tu kwamba kinakera, bali pia kinaweza kusababisha vurugu na Taharuki, Ngowi utambue kwamba kuna Maisha baada ya hizi Simba na Yanga, jitahidi kuwa na Heshima, kabla ya hawa wanaokulipa leo kulikuwa na Gulamali na Manji, leo wako wapi?

Naomba Mamlaka za Soka zizuie jezi hiyo kutumika

View attachment 3054439
Kwani simba pekee ndo alifungwa 5 na yanga..? Hahah
 
Acheni ushamba kuzipigia promo jezi za hovyo!

Waliofungwa 5 wenyewe akina chama na bakeke wanao huko huko utopoloni
 
Hizi mbwembwe zitakwisha tukiwa tunawakanda si kwa njia nyingine yoyote.
 
Pamoja na kwamba soka ni mchezo wa ushindani, lakini pia ni sehemu ya kuunganisha watu, kwa maana ya kutengeneza mahusiano mema katika Jamii.

Kitendo walichokifanya Yanga, cha kuweka kiganja cha Mkono kwenye Jezi yao kama ishara ya kuifunga Simba Bao 5 si tu kwamba kinakera, bali pia kinaweza kusababisha vurugu na Taharuki, Ngowi utambue kwamba kuna Maisha baada ya hizi Simba na Yanga, jitahidi kuwa na Heshima, kabla ya hawa wanaokulipa leo kulikuwa na Gulamali na Manji, leo wako wapi?

Naomba Mamlaka za Soka zizuie jezi hiyo kutumika

View attachment 3054439
Huko ni kujishtukiaa😂😂
 
Hiko ni kiganja au mizizi mkuuu? Mbona unatafuta tafuta habari...
 
Pamoja na kwamba soka ni mchezo wa ushindani, lakini pia ni sehemu ya kuunganisha watu, kwa maana ya kutengeneza mahusiano mema katika Jamii.

Kitendo walichokifanya Yanga, cha kuweka kiganja cha Mkono kwenye Jezi yao kama ishara ya kuifunga Simba Bao 5 si tu kwamba kinakera, bali pia kinaweza kusababisha vurugu na Taharuki, Ngowi utambue kwamba kuna Maisha baada ya hizi Simba na Yanga, jitahidi kuwa na Heshima, kabla ya hawa wanaokulipa leo kulikuwa na Gulamali na Manji, leo wako wapi?

Naomba Mamlaka za Soka zizuie jezi hiyo kutumika

View attachment 3054439
Hivi huwa kuna tatizo gani kwa mtu kushabikia chadema na hapo hapo kuwa mnazi wa simba! Naona kama inaondoa maarifa. Mfano ni Erythrocyte au OKW BOBAN SUNZU ni watu wanatema pumba tu
 
Ubunifu wa kijinga, Ulaya huwezi usenge kuona kama huo
Acha ulaya nao waje waige huku sio lazima kila lao lionekane zuri au la mfano huku kwetu.
Ulaya wana hovyo kuliko hii ya kiganja. Hapa juzi EURO 2024 uliona zile rangi 7? Je zile ni bora kuliko kiganja kwakua ziko ulaya?
 
Back
Top Bottom