Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,225
- 83,181
Kwann Thomas Frank toka yuko Brentford anakuonea sana?Nyeusi ziko π₯π₯π₯
Na ananionea mno T, nampenda sana yule mkaka, awwww!!!Kwann Thomas Frank toka yuko Brentford anakuonea sana?
Hii ndo jezi bora ya maisha tangu Yanga ianzishwe huwa najuta sana kwa nini sikuinunua hii jeziKama una hii jezi itunze sana na kama Hauna itafute uitunze tena usiivae ukiwa unaiangalia utaona yanga jersey ndani yake
Na ananionea mno T, nampenda sana yule mkaka, awwww!!!
Umesema ukweli wote nadhani kwenye baadhi ya maduka ipo na kama Kuna muuzaji mjanja akiileta akatafuta namna akaipiga promo basi msimu huu ataiuza sanaHii ndo jezi bora ya maisha tangu Yanga ianzishwe huwa najuta sana kwa nini sikuinunua hii jezi