Jezi za Young Africans kwaajili ya msimu ujao wa 2025-26.

Jezi za Young Africans kwaajili ya msimu ujao wa 2025-26.

Mmeniangusha sana. Nmesubiria kwa hamu sana jersey mnakuja kuleta majersey ya kipUuzi. Angalau hiyo nyeus. Halafu machata mengine ya kiduanzi ya nini kwenye jersey? Tunaonekana tupo obssessed na Mikia sana. Why kila wakati tunawawaza wao?
 
Yanga saa nyingine huwa akili zinaruka
Ndo Maana Manara alisema Yanga wenye akili ni wawili
1.Mzee Kikwete
2. Mzee Haji Manara(Baba yake)
😂😂😂😂😂😂😂
 
Kiukweli jezi za Yanga msimu huu ni za kawaida sana. Jezi za Simba za Pre season ni nzuri kuliko hizi rasmi za Yanga. Sema Yanga huwa wanafanikiwa kupiga Propaganda na Mashabiki zao wanajaa mazima. Ally Kamwe na wenzake wa Propaganda acheni tu walipwe hela nyingi.
 
Hiyo ya kijani na hiyo michoro kama msalaba nilidhani nguo ya jumuiya ya mtakatifu luka
 
𝐇𝐎𝐌𝐄 𝐊𝐈𝐓 𝟐𝟎𝟐𝟓/𝟐𝟔. 🔰View attachment 3451064View attachment 3451071
View attachment 3451066
𝐀𝐖𝐀𝐘 𝐊𝐈𝐓 𝟐𝟎𝟐𝟓/𝟐𝟔 🔰
View attachment 3451082View attachment 3451087View attachment 3451081

𝐓𝐇𝐈𝐑𝐃 𝐊𝐈𝐓 𝟐𝟎𝟐𝟓/𝟐𝟔 🔰
View attachment 3451089View attachment 3451090View attachment 3451093

𝐌𝐓𝐎𝐊𝐎 𝐖𝐀 𝐊𝐈𝐌𝐀𝐓𝐀𝐈𝐅𝐀 𝐔𝐌𝐄𝐅𝐈𝐊𝐀 🤩Sogea hapa Makao Makuu ya klabu yetu Jangwani upate mtoko wako Mwananchi🔰.#timuyawananchi #daimambelenyumamwiko

Kwa elfu 45 tu mwananchi 💚💛
Utafikiri UVCCM
 
Back
Top Bottom