Yanga saa nyingine huwa akili zinarukaMmeniangusha sana. Nmesubiria kwa hamu sana jersey mnakuja kuleta majersey ya kipUuzi. Angalau hiyo nyeus. Halafu machata mengine ya kiduanzi ya nini kwenye jersey? Tunaonekana tupo obssessed na Mikia sana. Why kila wakati tunawawaza wao?
Umetutukana sheikh wangu.... π€£π€£π€£Yanga saa nyingine huwa akili zinaruka
Ndo Maana Manara alisema Yanga wenye akili ni wawili
1.Mzee Kikwete
2. Mzee Haji Manara(Baba yake)
πππππππ
Ukiona mpaka Kolo mwandamizi kakubali basi ni chuma kweli.Nyeusi ziko π₯π₯π₯
Hii Makolo walisema msalaba , hakuna jersey itatoka hata iwe nzuri vipi bila Makolo kutia kejeli zao.Kama una hii jezi itunze sana na kama Hauna itafute uitunze tena usiivae ukiwa unaiangalia utaona yanga jersey ndani yake
Hapo mi siangalii hata opinion zao hii jersey ilikuwa Kali sana master kwanza ilikuwa na rangi og za club na zilikuwa zimepoa hadi Leo ni Raha kuziangaliaHii Makolo walisema msalaba , hakuna jersey itatoka hata iwe nzuri vipi bila Makolo kutia kejeli zao.
Utafikiri UVCCMππππ πππ ππππ/ππ. π°View attachment 3451064View attachment 3451071
View attachment 3451066
ππππ πππ ππππ/ππ π°
View attachment 3451082View attachment 3451087View attachment 3451081
πππππ πππ ππππ/ππ π°
View attachment 3451089View attachment 3451090View attachment 3451093
πππππ ππ ππππππππ π ππππ πππ π€©Sogea hapa Makao Makuu ya klabu yetu Jangwani upate mtoko wako Mwananchiπ°.#timuyawananchi #daimambelenyumamwiko
Kwa elfu 45 tu mwananchi ππ