TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Sikia binti yangu, wakati kijana mwenzako Mshana Jr kaandika anachojua hebu weka udambwi dambwi wako wa nje/ndani kuhusu biashara hiyo.Hiyo kizamani na kijinga sana, tuulize wazaliwa wa Kariakoo tukufahamishe michezo ya mjini.
Kwa sababu unekulia mitaa hiyo, funguka usilete taflani.