Jezi zilizokamatwa sio feki ni michezo ya Kariakoo, Sandaland kazidiwa maarifa

Hao ni madon wa nchi wanaokula na kushirikiana pamoja na vigogo wa serikalini.
Mmoja wapo ni GSM huyu ninamashaka naye sana
Mnamponda bure tu yule bibi FaizaFoxy ila kiukweli kama born town kweli huu mchezo mrahisi sana,nikuondoe hofu wa GSM kuhusika na huu mzigo,mzigo umeingizwa nchini na kampuni tosh logistic na hizo jezi zimekamatiwa kwenye godown la tosh ambayo ni kampuni pinzani na silent ocean logistic ya GSM,watoto wa mjini πŸ˜‚ kwa mbali tunanusa harufu ya GSM kuwa nyuma ya kusanua hizi jezi fake ili ampoteze mshindani wake kibiashara,mwenye jezi anajulikana na cheni yake ikiwekwa hadharani ni aibu ndio hata waziri mwenyewe anajiuma uma
 
Nimesema hili Kabla nikapingwa
 
Mshana GSM na Silent Ocean Ndo wako nyuma ya hii kitu ili kumtia doa mpinzani wao Wa usafirishaji TOSH CARGO.Hii kitu ipo planned.
GSM hapo uhusika wake kumtia doa tosh cargo lakini awahusiki na huo mzigo,tosh amtaje mwenye mzigo,GSM hapo kacheza part yake kwa kuua ndege 2 kwa jiwe 1,kumsambaratisha tosh na vile vile kukomesha walanguza wa jezi fake
 
Tanzania yangu.! Ukimuangalia waziri mbele ya kamera kwenye Hili suala, utashikwa na huruma. Hajui ashughulike na kipi. Anawauliza maswali waathirika kana kwamba ndo walioingiza jezi Kisha kuziita feki.πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ila mbona huyu ajuza unayejaribu kumtetea amesema GSM hahusiki?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna jamaa niliwasanua kuwa hii issue ipo very secrets kwa muda mrefu Tu ila kuna kajanja kawachoma na wamekinukisha sasa wahusika wamekaa pembeni wanasubir Mchezo uishe huku wakiendelea kupanga matokeo nyuma ya panzia TANZANIA ujanja ni mwingi.....

Mwambie ally kamwe huwenda alikuwa anapambana na boss wake..

Huwez elewa hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…