Jezi zilizokamatwa sio feki ni michezo ya Kariakoo, Sandaland kazidiwa maarifa

Matajiri wa bongo 90% ni wapigaji wenye kinga na connection toka juu mpaka ndani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo bibi hana anachojuwa kuhusu soko la kariakoo na wazee wa misheni town ndani yake.

Tukija kwenye sakata la jezi feki. Kwanza hili halijaanza leo wa jana hii ishi na kipindi kirefu huko nyuma jezi nyingi feki zimeshauzwa sana mtaani na mhusika wa haya yote ni huyo GSM. Mwaka 2021 kuna sakata GSM Kuhusishwa na kuuza jezi za simba feki sizani kama hili ulishawahi kulisikia ??

Hivyo hii ya juzi kuhusu jezi feki ilikuwa ni kimtia doa mshindani wake ila nyuma ya sakata GSM anahusika kwa kiasi kikubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…