Jezi zilizokamatwa sio feki ni michezo ya Kariakoo, Sandaland kazidiwa maarifa

Hilo neno "Mwenyezi" kulirudia rudia ulikua na maana gani?
Lengo lako utukere Waislam ama vipi?

Nilikua nakuheshimu lakini leo nimekushusha.
Kumbe nawe ni mdini kiasi hiki?

Sikutofautishi na wale machoko wanaopenda kukera mabwana zao hapa jukwaani.

Kuanzia leo nawewe ni choko tu, huna issue.
 
Huyo mtu ni mwongo na anataka kila mtu akubali uwongo wake.

Mimi huwa nampa makavu kila anapokuja na uwongo wake.

Hakuna zaidi ya hayo.

Tazama story hii aliyoileta hapa, Kariakoo yenyewe huyo haijuwi. Anaisikia tu.
Basi fanyeni kuvumiliana
 
Naunga mkono hoja 👍👏
 
huu mji usipokuwa mwehu mwehu njia ya maliwato inaota nyasi kwakweli...
 
Kuna bos wangu mmoja doni kanivimbia Sanaa .. kaja kyluishia mteja wa wafnyabiashara wenzie pale sikukuu na hela zake zote Zoezi lake tu la kwemda china limeshindikana mana wateja watu wamewasololesha.

Kariakoo mwisho wa matatizo
 
Kama huwezi vuta kontena achana na biashara ya nguo kariakoo , we agiza nenda kauze tandahimba ,
 
Yule jamaa alipewa kataba na klabu la fifa akawa hafanyi kazi kwa ufanisi kwasababu hakuangalia maslahi yake ya kibiashara ila unazi aiiuweka mbele akaharibu reputation ya kataba lake na last born la fifa
aLipochukua pekee biashara ilikfuw inalipa akamuonea wivu juy kwa juy akatoa kopi nje inasomeka pekee ndani mtengenezaji ni yeye price breka
 
Sasa unataka nisiilewe michezo ya kwetu, home ground?

Hapo hata kama sipo, simu moja tu, kila kitu kipo wazi.

Mtu kama hawajuwi watoto na wajukuu zake huyo anatakiwa awe mochwari kama mleta mada.
Hivi hapa tunasifia wizi / utapeli na ujanja -ujanja ? Au mimi ndio sijaelewa ?

Nadhani kuna tabia za kujisifia na nyingine kuzionea aibu na kuzikemea...
 
Sasa yanabadilika hayo.

Kuna michezo ilikuwa inafanywa na wapingaji sana wa bandari kupewa DP World.

Michezo hiyo ilianza baada ya watu kuona ushindani wa Dar. haulipi.
Ndio.TZ Kodi ya vitenge na khanga ni kubwa sana,wakati Zambia ni kidogo sana.

Hivyo wajanja wanaagiza mzigo kutokea Zambia Kisha wanaurudisha kupitia njia za panya(Tunduma).wanapiga faida balaa🤣🤣🤣🤣🤣💺💺
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…