FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Kwa heshima yako, hizi game zinachezwa siku nyingi sana, kwanza sitaiongelea hii lakini ntawapa viashiria, hii ni ndogo sana.Mwaga data🤣🤣🤣💺
Kwanza jezi nyingi sana sasa hivi zinatngenezwa hapahapa Tanzania. Zinazoletwa kutoka nje ni kidogo sana, ficha kombe mwanaharamu apite.
Kwanza hilo lieleweke.
Pia ieleweke; Jezi na aina nyingine ya t shirts hazitengenezwi kwa ajili ya soko la Tanzania tu, zinatengenezwa kwa soko la Afrika Mashariki na ya kati.
Mkishalielewa hilo, hapo nimemaliza nusu ya game iliyopo mezani. Mwenye kuifahamuKariakoo na Dar kwa ujumla atanielewa.
Nusu ya mwisho ya sentensi moja tu kuhusu hili game la hapa, ntawapa baadae.