Jezi zilizokamatwa sio feki ni michezo ya Kariakoo, Sandaland kazidiwa maarifa

Jezi zilizokamatwa sio feki ni michezo ya Kariakoo, Sandaland kazidiwa maarifa

Labda tunaweza kuziita feki (bandia) kutokana na ubora usiokidhi viwango.. Lakini kubwa ni kwamba mwenye dhamana ya kuziagiza hajatoa kibali kwa mwingine yoyote kuagiza kusambaza na kuuza

Kilichotokea Kariakoo ni uleule umafia ubabe na ushushushu wa biashara za pale mahali unaofanywa na ma tycoon, madon na makontawa wenye pesa zao ndefu na wenye connection mpaka ndani kama sio juu kabisa
Hawa ma tycoon na madon wana nyoka wao mashushushu wanaowaletea taarifa kila bidhaa mpya ama ya msimu inapokamata soko.. Na hawa hucheza na timing ya Mwenye mzigo husika. Wao wanachotaka ni sample tu ya mzigo halisi ama soft copy yake

Wewe mwenye mzigo wako unapopanda ndege uende ukaandae oda yako izalishwe wenzako wanakuwa wameshafikisha kila kitu huko kupitia nyoka wao walioko huko

Kwenye hizi biashara kubwa za Kariakoo zinazotegemea kuzalishwa kwa oda huko nje kuchelewa siku moja tuu umechelewa mno! Kwahiyo unapofika huko (mostly China) kuelewana bei mpaka kuanza uzalishaji unaweza kuchukua si chini ya siku mbili ukijumlisha na mbili za safari ni siku nne

Huo ni muda mwingi mno kwa waliokwisha kutangulia... Kwahiyo kwa kila hatua wewe utaachwa nyuma si chini ya wiki moja

Huku ukiwa hujui kinachoendelea unafanya fasta ili ukawe wa kwanza kuingiza mzigo sokoni lets say container za ko 3 au 4 hivi!.. Wakati mzigo wako umefika bandarini unajiandaa kuutoa mara unapata taarifa ama unaona mzigo kama huo huo tayari uko sokoni tena kwa bei poa zaidi..[emoji23]

Umeingiza container 4 mwenzako kaingiza 10 na kashaweka mzigo sokoni.. Usipokuwa na roho ngumu unaweza kujinyonga! Sasa hapo uchaguzi ni wako uuze sawa na yeye, au umuuzie yeye mzigo wote kwa bei atakayokupangia ama ubaki na mzigo wako ukudodee.. Hiki kwa vyovyote ndio kilichompata Sandaland lakini yeye pengine kakataa unyonge kaamua kukisanua!

Maswali muhimu sana!
1. JE WAHUSIKAN WATACHUKULIWA SHERIA?
2. Je mzigo utataifishwa na kuharibiwa?
3. Je mzigo utauzwa kwenye mnaba na kuachwa uingie sokoni?

Swali namba 1.
Mpaka sasa mamlaka akiwemo Sandaland mqenyewe wameshikwa na kigugumizi kumtaja mhusika! Hili si gumu na halihitaji uchunguzi mkubwa kwakuwa mzigo umeagizwa kupitia nyakara zote halali
Bank account
Jina la muagizaji
Mahali mzigo unapoenda
TIN ninja.. Sasa kuna uzito gani kumuweka wazi mhalifu?

Swali no 2
Je mzigo utataifishwa na kuharibiwa? Hapa kesi ikienda mahakamani pengine kunaweza kujitokeza mambo ya hakimiliki na patent copyright .. Kama ikithibitika mzigo hauna nyaraka halali za umiliki na malighafi iliyotumika ni chini ya viwango kuna uwezekano mkubwa mzigo kutaifishwa na kuteketezwa

Swali no 3
Je utauzwa kwenye mnada na kuachwa uingie sokoni?
Hapa hili linaweza kutokea kama ikithibitika material iliyotumika ni bora inakidhi viwango ila tu kuna shida kwenye nyaraka za umiliki (patent copyright)
Hapa kuna mengi
Mwenyezi patent copyright anaweza kupewa haki ya kuununua mzigo na kama akishindwa ukauzwa kwa mnada kwa mwenye uwezo

Hiki ndio kinasubiriwa na hao madon.. Kwasasa wako kimya wanasoma mchezo huku wakicheza michezo nyuma ya pazia..
Hii ni mojawapo ya sinema za kuvutia kariakoo kama ile ya vitenge na ni ngumu kutabiri mwisho wake

Je sterling atakufa? Usikose part 2

Zaidi soma: Umafia, ubabe na ujasusi wa biashara za Kariakoo | Page 18 Umafia, ubabe na ujasusi wa biashara za KariakooView attachment 2794379

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo mkuu,upo hapa kusapoti wezi wa brand and likeness of other people kujipatia fedha kinyume cha utaratibu?

Simba hauzi merchandize tu inauza likeness,brand and lifestyle huyo mshenzi wa Kariakoo anatumiaje these Simba's intangible assets fraudulently kujipatia kipato?

Mahakamani anashindwa na atalipa fidia kubwa

Tukienda kwa akili yako nchi hii itakua jungle anything goes,biashara na ubunifu utakufa

Yanini ubuni kitu,spend alot of your time all these years kujenga reputation,likeness,lifestyle,etc halafu mshenzi mmoja achukue all your artistic assets akajenge nguo auze free?

Hatutakua na nchi
 
D
So unakunywa chai salamander na wewe[emoji28]
Ah nimepata habari kuna Salamander mpya imefunguliwa hapo mtaa wa Chaga Dar.

Binafsi sijaiona lakini mtaa naujuwa vizuri sana na walioifunguwa nawajuwa vizuri sana kama wale wa Salamander ya zamani. Hawahusiani lakini wanajuwana.

Kweli usilolijuwa ni usiku wa kiza.
 
Sasa niwapasulie jipu.


Vyanzo vyangu vimenambia, hizo jezi ni za Sandaland wenyewe, hakuna mwengine. Wenyewe wamecheza game likabuma, baada ya kustukiwa sasa wanajiosha. Nalo pia kwa uelekewa wafanye nini.

Wamewatafutia watu ulaji wa kijinga, ilikuwa wakae chini na Simba, waziingize kwenye hesabu yaishe, wakaona hiyo ni hasara heri wajiripuwe wenyewe wagawane juu kwa juu.

Hapo hakuna kuzidiwa akili, wamejidai wajanja wao kuwazidi akili watoto wa mjini. Wamestukiwa sasa watoto haohao wa mjini ndiyo wanawasukia mambo.

Vijana wa Kariakoo wahuni sana, sassa wanawapiga kote kote. Wakigeuka hivi wanalo wakigeuka vile wanalo.
Mzigo ni wa jamaa enu wa ccm kuna kipindi alifinywa na tra sababu ya janja janja
Aliramba dili nono kutoka klabu doto hapi kariakoo akalifanya kiunazi kwa vile ni shabiki mkubwa wa timu kurwa na aliemtoa kimaisha ni mnazi wa timu kurwa
Tafuta jezi zote feki za doto utakuka chapa yake acheni kumchafua pekee
 
Mzigo ni wa jamaa enu wa ccm kuna kipindi alifinywa na tra sababu ya janja janja
Aliramba dili nono kutoka klabu doto hapi kariakoo akalifanya kiunazi kwa vile ni shabiki mkubwa wa timu kurwa na aliemtoa kimaisha ni mnazi wa timu kurwa
Tafuta jezi zote feki za doto utakuka chapa yake acheni kumchafua pekee
Sikuelewi ulichoandika.
 
D

Ah nimepata habari kuna Salamander mpya imefunguliwa hapo mtaa wa Chaga Dar.

Binafsi sijaiona lakini mtaa naujuwa vizuri sana na walioifunguwa nawajuwa vizuri sana kama wale wa Salamander ya zamani. Hawahusiani lakini wanajuwana.

Kweli usilolijuwa ni usiku wa kiza.
Kwanini juzi tumekutana pale Kigogo Sambusa kwenye kitimoto ukawa unajiita MAMA PRISCA? Huoni kwamba uongo ni dhambi? Halafu ulivyosema ufungiwe kilo moja ulikuwa unampelekea nani?
 
Kwahiyo mkuu,upo hapa kusapoti wezi wa brand and likeness of other people kujipatia fedha kinyume cha utaratibu?

Simba hauzi merchandize tu inauza likeness,brand and lifestyle huyo mshenzi wa Kariakoo anatumiaje these Simba's intangible assets fraudulently kujipatia kipato?

Mahakamani anashindwa na atalipa fidia kubwa

Tukienda kwa akili yako nchi hii itakua jungle anything goes,biashara na ubunifu utakufa

Yanini ubuni kitu,spend alot of your time all these years kujenga reputation,likeness,lifestyle,etc halafu mshenzi mmoja achukue all your artistic assets akajenge nguo auze free?

Hatutakua na nchi
Hili bandiko langu umelisoma na kulielewa kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo jengo ulishafukuzwa kitambo faiza acha kujikweza, ulipokimbilia kule shamba kibiti pia nilifika na hapo uliposasa nilishafika..
Tulishatoka wote Jangwani sekondari mpaka unapanda daladala na shungi lako gubiguni nakuchora tuu..[emoji23]
Faizafix nakujua vilivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaniii mbonaa mabwakuuu haya sasa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Faiza kazaliwa Dar, Mrangi anaijua Dar. Mrangi hana ngonjera akitaka kusema kitu ni comment moja anaweka code amemaliza.

Hamna mtu anazijua misheni za Dar kumzidi Mrangi humu JF. Faiza anajua historia ya Dar sababu ni umri mkubwa kumzidi Mrangi, ni kundi lilelile la kina Kiranga na mzee Mohamed. Kina Faiza wanajua historia ya kisiasa na watu maarufu, kina Mrangi wanajua harakati chafu za mjini.
Kuzaliwa Dar na kujua misheni zake ni vitu viwili tofauti kabisa, ndio maana mmeulizwa nani mzaliwa wa Kariakoo ni billionaire wa biashara hapohapo Kariakoo.
Umejibu vizuri kabisaaa.
 
Hakuna mchezo uliochezwa ,kariakoo yote imejaa bidhaa za kichina tena malonya lonya tu ,Unavaa siku moja ukifua imechanika

Kuagiza copy kariakoo ndio taratibu zao

Kuna brand za GUcci feki,Brand za reebook face mpaka addidas fake
Had NIKE jamani, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kariakoo ni kibokooo.
 
Back
Top Bottom