Jezi zilizokamatwa sio feki ni michezo ya Kariakoo, Sandaland kazidiwa maarifa

Jezi zilizokamatwa sio feki ni michezo ya Kariakoo, Sandaland kazidiwa maarifa

Kafiee mbele umbwa koko wewe.. Huna unachojua kiazi mbatata wewe
Halafu jamaa akapata tuzo, angalieni matusi ya mtu aliyepata tuzo! Halafu tunaambiwa ni mtu mzima mwenye akili, hekima na busara zake!

Hajui upi ni wakati wa kujibu na upi ni wakati wa kukaa kimya! Mbaya zaidi ni mwanaume ndiye anatoa matusi kwenda kwa mwanamke!
 
Hata mimi nimesikitika sana. Ni vyema ndugu yangu Mshana Jr ukapunguza jazba na Ukazikabili na kudhibiti hisia zako. Cha msingi ufahamu tuna Imani tofauti za kidini na itikadi tofauti na tuna asili tofauti. Na Kila mtu yupo sahihi katika nafasi yake na mahala pake
 
Faiza kazaliwa Dar, Mrangi anaijua Dar. Mrangi hana ngonjera akitaka kusema kitu ni comment moja anaweka code amemaliza.

Hamna mtu anazijua misheni za Dar kumzidi Mrangi humu JF. Faiza anajua historia ya Dar sababu ni umri mkubwa kumzidi Mrangi, ni kundi lilelile la kina Kiranga na mzee Mohamed. Kina Faiza wanajua historia ya kisiasa na watu maarufu, kina Mrangi wanajua harakati chafu za mjini.
Kuzaliwa Dar na kujua misheni zake ni vitu viwili tofauti kabisa, ndio maana mmeulizwa nani mzaliwa wa Kariakoo ni billionaire wa biashara hapohapo Kariakoo.
Kujua stori za misheni za Dar ni rahisi mno as long as wewe ni mtu wa kufuatilia hizo habari na kukaa vijiweni. Issue je unaweza kuzifanya?

Wenyeji wa Dar kiasili sio kama wa mikoani. Ni rahisi watu wa makabila ya mikoani kumjua mmojawapo wa mtu aliyefanikiwa hata kununua pikipiki au gari na akajulikana na ukoo mzima na hata kabila na akaabudiwa na kusikilizwa hata kuliko wazee/ akapewa uongozi wa ukoo kulingana na kiasi kidogo Cha fedha alichonacho.

Wa Dar es salaam na Pwani ni tofauti muda mwingi hufuatilia yanayowahusu wao na familia zao. Hawana tabia za kum-babaikia mtu kutokana na cheo au fedha yake Kwa kuwa si sehemu ya sifa zinazotakiwa. Ukiwa na busara na hekima utaheshimkwa zaidi ya kaka yako bilionea! Kingine ni umri wako,mkubwa atabaki kuwa mkubwa na mdogo anabaki kuwa mdogo.Na wanapokuwa mabilionea hawana sifa za kijinga. Nawafahamu wengi...... lakini wakifika kwenye familia wanatumwa tu kulingana na umri wao...
 
Mpaka sasa mtanange wa hawa wajuaji wawili wa jf ni 0 kwa 0, zaidi ya kuaibishana hawana la maana wanaloandika humu.
 
Hilo jengo ulishafukuzwa kitambo faiza acha kujikweza, ulipokimbilia kule shamba kibiti pia nilifika na hapo uliposasa nilishafika..
Tulishatoka wote Jangwani sekondari mpaka unapanda daladala na shungi lako gubiguni nakuchora tuu..[emoji23]
Faizafix nakujua vilivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
naona things are getting personal

mtakua ulishamtomba,niggas cant get this personal
 
Mkuu upo?
Umeona matokeo Tulia kashinda[emoji23][emoji23]
Nimeona my nigga!

Nafasi ya third world countries ile

Mtu unashindana na dysfunctional,shithole,banana republics kama Somalia uache kushinda kweli?

Namchukia Tulia jamani,shingo kama katuni ya Rango...yule dada angejua HAPENDWI angeenda kulima tu

I'm waiting Sugu ampige bao kama 5 hapo 2025!
 
Hili bandiko langu umelisoma na kulielewa kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimesoma mkuu

Kuelewa ni kazi yangu sio yako

Wewe ushaandika kuelewa tuachie sisi

Kama kuandika na kusoma na kuelewa tena ni kazi yako ilikua haina haja ya kutuandikia sisi wanadamu hapa!

Wewe relax pambana na Faiza,kamtombe tena,kama anakukazia kamloge
 
Nimeona my nigga!

Nafasi ya third world countries ile

Mtu unashindana na dysfunctional,shithole,banana republics kama Somalia uache kushinda kweli?

Namchukia Tulia jamani,shingo kama katuni ya Rango...yule dada angejua HAPENDWI angeenda kulima tu

I'm waiting Sugu ampige bao kama 5 hapo 2025!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Alikufanyia nini Mkuu?
2025 tunaenda na wakili Mwabukusi[emoji23]
 
Kujua stori za misheni za Dar ni rahisi mno as long as wewe ni mtu wa kufuatilia hizo habari na kukaa vijiweni. Issue je unaweza kuzifanya?
Sasa hao wasiojua hata hizo story ndio kuzifanya wataweza? Kwamba issue kama drugs, car hijacking, counterfeit products na crimes ni vitu wanakaa mtaa wa Kongo wanakunywa alkasus wanasimuliana nje nje? Sanasana watabishana Simba na Yanga timu za Kariakoo.
Huna clue au hint ya kinachofanyika, sio among the team utajuaje ili usimulie. Si utadonoa taarifa chache.
Wenyeji wa Dar kiasili sio kama wa mikoani. Ni rahisi watu wa makabila ya mikoani kumjua mmojawapo wa mtu aliyefanikiwa hata kununua pikipiki au gari na akajulikana na ukoo mzima na hata kabila na akaabudiwa na kusikilizwa hata kuliko wazee/ akapewa uongozi wa ukoo kulingana na kiasi kidogo Cha fedha alichonacho.
Hayo mambo hawayaelewi ndio maana hawayajui. Huwezi jadili jambo hujui na ni la siri.
Nani kakwambia wenyeji wa Dar hawafuatilii yasiyowahusu. Tanzania hii wachambaji maarufu ni kina nani?
Nenda mitaa yao ya Mburahati, Mikoroshini, Vingunguti na maeneo yote yenye vibanda vya kuuza CD zilizotafsiriwa uone wapangaji wake wanavyofuatiliana nani kapika nini.
Wa Dar es salaam na Pwani ni tofauti muda mwingi hufuatilia yanayowahusu wao na familia zao. Hawana tabia za kum-babaikia mtu kutokana na cheo au fedha yake Kwa kuwa si sehemu ya sifa zinazotakiwa. Ukiwa na busara na hekima utaheshimkwa zaidi ya kaka yako bilionea! Kingine ni umri wako,mkubwa atabaki kuwa mkubwa na mdogo anabaki kuwa mdogo.Na wanapokuwa mabilionea hawana sifa za kijinga. Nawafahamu wengi...... lakini wakifika kwenye familia wanatumwa tu kulingana na umri wao...
Hili sio linalowafanya wasijue kinachoendelea mjini. Linalofanywa wasijue wawe wazawa wa Dar au wakuja ni kutohusika na kinachofanyika.
Kuagizwa utumbo sokoni ukiwa billionaire hakukufanyi usijue michezo michafu ya mjini, kutoicheza ndio kunakufanya usiijue.

Kinachosimuliwa na wazawa wa Kariakoo ni historia waliyojikuta nayo kwenye mazingira yao, mzee Mohamed akisema alipiga picha na Kleist Sykes wakiwa Karimjee hall ni sababu walikuwa eneo moja na wanafahamiana kiimani, kiujirani, kindugu, n.k. na mara zote huwa anasema "huyu nilikutanishwa naye, huyu tulionana katika mazishi ya, huyu nilitambulishwa kwake na mdogo wake tuliyecheza wote.
Naye utasema mzawa wa mjini hafuatilii maisha ya watu wakati ana vitabu na nyuzi za watu chungu nzima wengine walikufa 1950s?
 
Halafu jamaa akapata tuzo, angalieni matusi ya mtu aliyepata tuzo! Halafu tunaambiwa ni mtu mzima mwenye akili, hekima na busara zake!

Hajui upi ni wakati wa kujibu na upi ni wakati wa kukaa kimya! Mbaya zaidi ni mwanaume ndiye anatoa matusi kwenda kwa mwanamke!
Tafadhali sana mambo yasiyokuhusu naomba usiyaingilie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mimi nimesikitika sana. Ni vyema ndugu yangu Mshana Jr ukapunguza jazba na Ukazikabili na kudhibiti hisia zako. Cha msingi ufahamu tuna Imani tofauti za kidini na itikadi tofauti na tuna asili tofauti. Na Kila mtu yupo sahihi katika nafasi yake na mahala pake
Mimi sio mnyonge mimi sina jazba na nina uvumilivu mkubwa wa kukaa kimya na kupotezea lakini haina maana kwamba nitakaa kimya siku zote kuna wakati wapuuzi hujibiwa sawasawa na upuuzi wao
Natumia jina na picha halisi nafahamiana na wengi sana humu ndani... Mtu hawezi kuniita muongo na kunikejeli kwenye karibia kila post yangu halafu niendelee kumkalia kimya

I have my dignity and integrity bado sijamalizana naye..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesoma mkuu

Kuelewa ni kazi yangu sio yako

Wewe ushaandika kuelewa tuachie sisi

Kama kuandika na kusoma na kuelewa tena ni kazi yako ilikua haina haja ya kutuandikia sisi wanadamu hapa!

Wewe relax pambana na Faiza,kamtombe tena,kama anakukazia kamloge
Basi baki na tafsiri zako nawajibika na maandiko yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom