Unaweza ukaea umezaliwa Kariakoo lkn hujawahi fanya biashara,Kariakoo ya biashara na Kariakoo ya makazi ni Kariakoo mbili tofauti...unapenda cheap and unnecessary attentionHiyo kizamani na kijinga sana, tuulize wazaliwa wa Kariakoo tukufahamishe michezo ya mjini.