Jezi zilizokamatwa sio feki ni michezo ya Kariakoo, Sandaland kazidiwa maarifa

Jezi zilizokamatwa sio feki ni michezo ya Kariakoo, Sandaland kazidiwa maarifa

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Alikufanyia nini Mkuu?
2025 tunaenda na wakili Mwabukusi[emoji23]
Libaya sana aisee

Nafiki sana

Linaona ni heri liumize wananchi kuitetea CCM

Bure kabisa

Mwabukusi ashinde au yeyote ila si hii shingo ndefu kama Rango!
 
Nimeona my nigga!

Nafasi ya third world countries ile

Mtu unashindana na dysfunctional,shithole,banana republics kama Somalia uache kushinda kweli?

Namchukia Tulia jamani,shingo kama katuni ya Rango...yule dada angejua HAPENDWI angeenda kulima tu

I'm waiting Sugu ampige bao kama 5 hapo 2025!
Tulia ni spika kijana hupaswi kumchukia bila sababu. Yule ni damu changa kwenye uongozi
 
Labda tunaweza kuziita feki (bandia) kutokana na ubora usiokidhi viwango.. Lakini kubwa ni kwamba mwenye dhamana ya kuziagiza hajatoa kibali kwa mwingine yoyote kuagiza kusambaza na kuuza

Kilichotokea Kariakoo ni uleule umafia ubabe na ushushushu wa biashara za pale mahali unaofanywa na ma tycoon, madon na makontawa wenye pesa zao ndefu na wenye connection mpaka ndani kama sio juu kabisa
Hawa ma tycoon na madon wana nyoka wao mashushushu wanaowaletea taarifa kila bidhaa mpya ama ya msimu inapokamata soko.. Na hawa hucheza na timing ya Mwenye mzigo husika. Wao wanachotaka ni sample tu ya mzigo halisi ama soft copy yake

Wewe mwenye mzigo wako unapopanda ndege uende ukaandae oda yako izalishwe wenzako wanakuwa wameshafikisha kila kitu huko kupitia nyoka wao walioko huko

Kwenye hizi biashara kubwa za Kariakoo zinazotegemea kuzalishwa kwa oda huko nje kuchelewa siku moja tuu umechelewa mno! Kwahiyo unapofika huko (mostly China) kuelewana bei mpaka kuanza uzalishaji unaweza kuchukua si chini ya siku mbili ukijumlisha na mbili za safari ni siku nne

Huo ni muda mwingi mno kwa waliokwisha kutangulia... Kwahiyo kwa kila hatua wewe utaachwa nyuma si chini ya wiki moja

Huku ukiwa hujui kinachoendelea unafanya fasta ili ukawe wa kwanza kuingiza mzigo sokoni lets say container za ko 3 au 4 hivi!.. Wakati mzigo wako umefika bandarini unajiandaa kuutoa mara unapata taarifa ama unaona mzigo kama huo huo tayari uko sokoni tena kwa bei poa zaidi..[emoji23]

Umeingiza container 4 mwenzako kaingiza 10 na kashaweka mzigo sokoni.. Usipokuwa na roho ngumu unaweza kujinyonga! Sasa hapo uchaguzi ni wako uuze sawa na yeye, au umuuzie yeye mzigo wote kwa bei atakayokupangia ama ubaki na mzigo wako ukudodee.. Hiki kwa vyovyote ndio kilichompata Sandaland lakini yeye pengine kakataa unyonge kaamua kukisanua!

Maswali muhimu sana!
1. JE WAHUSIKAN WATACHUKULIWA SHERIA?
2. Je mzigo utataifishwa na kuharibiwa?
3. Je mzigo utauzwa kwenye mnaba na kuachwa uingie sokoni?

Swali namba 1.
Mpaka sasa mamlaka akiwemo Sandaland mqenyewe wameshikwa na kigugumizi kumtaja mhusika! Hili si gumu na halihitaji uchunguzi mkubwa kwakuwa mzigo umeagizwa kupitia nyakara zote halali
Bank account
Jina la muagizaji
Mahali mzigo unapoenda
TIN ninja.. Sasa kuna uzito gani kumuweka wazi mhalifu?

Swali no 2
Je mzigo utataifishwa na kuharibiwa? Hapa kesi ikienda mahakamani pengine kunaweza kujitokeza mambo ya hakimiliki na patent copyright .. Kama ikithibitika mzigo hauna nyaraka halali za umiliki na malighafi iliyotumika ni chini ya viwango kuna uwezekano mkubwa mzigo kutaifishwa na kuteketezwa

Swali no 3
Je utauzwa kwenye mnada na kuachwa uingie sokoni?
Hapa hili linaweza kutokea kama ikithibitika material iliyotumika ni bora inakidhi viwango ila tu kuna shida kwenye nyaraka za umiliki (patent copyright)
Hapa kuna mengi
Mwenyezi patent copyright anaweza kupewa haki ya kuununua mzigo na kama akishindwa ukauzwa kwa mnada kwa mwenye uwezo

Hiki ndio kinasubiriwa na hao madon.. Kwasasa wako kimya wanasoma mchezo huku wakicheza michezo nyuma ya pazia..
Hii ni mojawapo ya sinema za kuvutia kariakoo kama ile ya vitenge na ni ngumu kutabiri mwisho wake

Je sterling atakufa? Usikose part 2

Zaidi soma: Umafia, ubabe na ujasusi wa biashara za Kariakoo | Page 18 Umafia, ubabe na ujasusi wa biashara za KariakooView attachment 2794379

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao Ma Don wanaweza kuleta mzigo wenye chata ya Sandaland bila kukubaliana na Sandaland mwenyewe?

Nachoona hapa huu mzigo umepitia hatua zote za TRA mpaka na kodi umelipiwa, shida tu haujaletwa na Sandaland mwenye dhamana ya kuuleta.

Nini kitafanyika, kama mzigo unao ubora basi mwenye mzigo atalazimika kukaa chini na Sandaland amgaie percent kadhaa aruhusu mzigo uuzwe. Hapo ni ki uungwana zaidi. Ila kibabe zaidi ni kibiriti tu.

Ila Cha pili Cha kujiuliza, ukichapisha fulana yoyote yenye kufanana na ya Simba unakua umetenda jinai? Simba wamesajili kwenye hatimiliki ule muonekano wa fulana zao?
 
Upole na ukimya wangu sometimes unaniponza! Isingekuwa sheria na kanuni za JF ningemuanika mpaka .... Na mpaka.. Watu wamjue vema wasibabaishwe tena naye

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli umekasirika.
Ni mara yangu ya kwanza kukuona Mshana umekasirika.

Hebu endelea kutiririka tujue mbivu na mbichi😂😂😂
Anatusumbua sana huyu Mama.
 
Alichoandika ni kiswanglish ambacho huwa nakichukia mno. Naonaga Slay Queens tu ndo wenye uhalali wa kuongea kiswanglish.
hujui kingereza,thats on you

kiswahili pia hujui

i wonder hata kilugha cha unapotoka hujui

who the fvck are you?

najua kingereza najua Kiswahili najua kichagga fluently,wivu umekushika,thats on you!
 
Nimeona my nigga!

Nafasi ya third world countries ile

Mtu unashindana na dysfunctional,shithole,banana republics kama Somalia uache kushinda kweli?

Namchukia Tulia jamani,shingo kama katuni ya Rango...yule dada angejua HAPENDWI angeenda kulima tu

I'm waiting Sugu ampige bao kama 5 hapo 2025!
Njiti ana maringo ya kishamba sana
 
Kwahiyo mkuu,upo hapa kusapoti wezi wa brand and likeness of other people kujipatia fedha kinyume cha utaratibu?

Simba hauzi merchandize tu inauza likeness,brand and lifestyle huyo mshenzi wa Kariakoo anatumiaje these Simba's intangible assets fraudulently kujipatia kipato?

Mahakamani anashindwa na atalipa fidia kubwa

Tukienda kwa akili yako nchi hii itakua jungle anything goes,biashara na ubunifu utakufa

Yanini ubuni kitu,spend alot of your time all these years kujenga reputation,likeness,lifestyle,etc halafu mshenzi mmoja achukue all your artistic assets akajenge nguo auze free?

Hatutakua na nchi
Huyo haelewi anachokiongea, anajifanya mjuwaji kumbe hana anachokijuwa. Ni poyoyo mmoja mwongo wa kutupwa.

Halafu hana haya, kila anapoleta ujinga nikimbamba anaanza kutukana huyo, povu debe.
 
Back
Top Bottom