Mayor of kingstown JF-Expert Member Joined Feb 19, 2017 Posts 2,898 Reaction score 4,156 Jan 8, 2018 #1 [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji23] [emoji23] [emoji23] n kumaanisha ma moderator wamekua makini zaidi mwaka 2018 au ni uonevu ndo umeongezeka Kama nikiwa mmoja wa waanga wa ili tatizo nlibahatika. Kupigwa ban mala baada tu ya kwenda tofauti kimawazo na mods flan....... Jina nmeliifadhi. Bado natafakari. Nimaagizo au ni nn ichi[emoji54] [emoji54] pia ni mda gani uchukua adi member kua huru baada ya kua banned
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji23] [emoji23] [emoji23] n kumaanisha ma moderator wamekua makini zaidi mwaka 2018 au ni uonevu ndo umeongezeka Kama nikiwa mmoja wa waanga wa ili tatizo nlibahatika. Kupigwa ban mala baada tu ya kwenda tofauti kimawazo na mods flan....... Jina nmeliifadhi. Bado natafakari. Nimaagizo au ni nn ichi[emoji54] [emoji54] pia ni mda gani uchukua adi member kua huru baada ya kua banned
Nokia83 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 24,643 Reaction score 44,320 Jan 8, 2018 #2 Ndio muwe makini...mm mtu akitukana najifanya kama sijaona tu
Jurrasic Park JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 3,801 Reaction score 6,806 Jan 8, 2018 #3 Hahaha naona kaku-ban-ika sasa pole lakini
Valentina JF-Expert Member Joined Oct 12, 2013 Posts 24,684 Reaction score 28,777 Jan 8, 2018 #4 Ndo ushabanikwa nini
mwampepe JF-Expert Member Joined Sep 14, 2015 Posts 330 Reaction score 129 Jan 8, 2018 #5 Hivi unajuaje kama mtu amekula bun? na nitajuaje wakinibun?
Gordita JF-Expert Member Joined Nov 4, 2013 Posts 11,564 Reaction score 55,570 Jan 8, 2018 #6 Umebaniwa tena?
Nguvu moja JF-Expert Member Joined Oct 20, 2017 Posts 3,371 Reaction score 2,713 Jan 21, 2018 #7 [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji13] [emoji13] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji124] [emoji124]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji13] [emoji13] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji124] [emoji124]