JF 2018 naona banned zinatembea kwa wingi sijajua tatizo nini

JF 2018 naona banned zinatembea kwa wingi sijajua tatizo nini

Mayor of kingstown

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
2,898
Reaction score
4,156
877663fa4c54d2bb26ee3de2e5e15df3.jpg
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji23] [emoji23] [emoji23] n kumaanisha ma moderator wamekua makini zaidi mwaka 2018 au ni uonevu ndo umeongezeka


Kama nikiwa mmoja wa waanga wa ili tatizo nlibahatika. Kupigwa ban mala baada tu ya kwenda tofauti kimawazo na mods flan.......

Jina nmeliifadhi. Bado natafakari. Nimaagizo au ni nn ichi[emoji54] [emoji54]

pia ni mda gani uchukua adi member kua huru baada ya kua banned
 
Hivi unajuaje kama mtu amekula bun? na nitajuaje wakinibun?
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji13] [emoji13] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji124] [emoji124]
 
Back
Top Bottom